Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana

Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro

Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
 
Uchumba ulikaa muda gani?
Msingi wa mahusiano yenu ukoje?
Hukuona hizo tabia kabla ya kuoana?
 
Na hapo usipokaza akikuwin tu umekwisha jiandae kuendeshwa maisha yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…