Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana

Tabia anazoonesha
1.kisiran
2.kununa
3.Kuzalisha migogoro
haya yote alivokua kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Mbona hayo yote ni kawaida subiri phase two ndo utajue wanawake ni nini, rafiki yangu hu ni mwezi wa pili analala kwenye gari lake ila ndoa yake in miaka 4, hapo kwako hiyo inaitwa cooling break mechi bado kabisa.......
 
Back
Top Bottom