Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo kazi haifanyikiBro mkaze vizuri mkeo huu ndo ushauri wangu ukiufanyia kazi utakuja kunishukuru
Wewe ndo una ShidaJaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Tatizo lilianzia pale ulipoomba michango ya sherehe ya harusi.Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Umecomment kinyonge sanahata tako hana
Huyo unaetaka kuoa ni mwanaume? Kama ni ke mambo ni yale yalewanawake wanachangamoto sijui nioe mwingine
kitu kimoja nakushauri, ndoa yangu inakaribia miaka 20 huko. kwenye ndoa, mkaribishe Yesu atawale maisha yenu, utaenjoy sana. Mimi ndoa yangu sikuanza na Mungu, ndani ya mwaka mmoja tulikuwa tunavurugana hadi najuta kuoa, nilikuwa hadi nampiga mke wangu ngumi na mateke kama mbwa, nakumbuka kuna mwaka niliwahi kumpiga mke wangu tukiwa na first born wetu akiwa na miaka kama mmoja. katoto kalivyo kadogo vilevile kalilia sana kakawa kanamsaidia mamake. ilinipa uchungu mno. zamani niliamini labda ni ile story kwamba mkiwa wote mmekutana ukubwani, kila mtu amelelewa na tabia zake, mkizichanganya lazima miaka miwili mitatu ya mwanzo mvurugane na mtakuja kuwa compatible baadaye. THIS IS VERY WRONG.Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1.kisiran
2.kununa
3.Kuzalisha migogoro
haya yote alivokua kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
😂Unachelewa bro, jitahidi breakfast kesho ainywee kwao.....
hapana muha
Nimechaka kama mjinga daah.Mbona hayo yote ni kawaida subiri phase two ndo utajue wanawake ni nini, rafiki yangu hu ni mwezi wa pili analala kwenye gari lake ila ndoa yake in mwaka 4, hapo kwako hiyo inaitwa cooling break mechi bado kabisa.......
Lazima uchoke maana ndoa za siku hizi miezi mitatu wakifika wanajifanya venye wako timiza anniversary 🤣🤣🤣Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Kuna muhuni anasema "When I cum I come to my senses"After sex, the truth is revealed
Bro kumbe unatishia kujamb* sio?Bro unanipoteza
Muhimu ni kuzingatia mafundisho yaliyotolewa maishhayao au. Mapungufuyao Sion kama ndio ujumbe ulliokkusudiwa na wao ni binadamuHao watoa mawaidha wenyewe wa siku hizi wanawaacha wake zao miezi 2 tu.
Yesu mwenyewe alikimbia ndoa kwa miaka 33 jakimbia kwa baba yake iweje awe suluhisho ya ndoa.........walokole hapo ndo mnaharibu wake zenu wanapigwa kanisani kirahisi kwa kujipa matumaini ya yesu, plz tenganisha mambo ya ndoa na mambo ya roho.kitu kimoja nakushauri, ndoa yangu inakaribia miaka 20 huko. kwenye ndoa, mkaribishe Yesu atawale maisha yenu, utaenjoy sana. Mimi ndoa yangu sikuanza na Mungu, ndani ya mwaka mmoja tulikuwa tunavurugana hadi najuta kuoa, nilikuwa hadi nampiga mke wangu ngumi na mateke kama mbwa, nakumbuka kuna mwaka niliwahi kumpiga mke wangu tukiwa na first born wetu akiwa na miaka kama mmoja. katoto kalivyo kadogo vilevile kalilia sana kakawa kanamsaidia mamake. ilinipa uchungu mno. zamani niliamini labda ni ile story kwamba mkiwa wote mmekutana ukubwani, kila mtu amelelewa na tabia zake, mkizichanganya lazima miaka miwili mitatu ya mwanzo mvurugane na mtakuja kuwa compatible baadaye. THIS IS VERY WRONG.
NIlikuja kuthibitisha hili ni la uongo baada ya kumpa Yesu maisha, ghafla kila kitu kilibadilika, upendo kwa mke wangu ulijaa, naye kwangu ulijaa, hadi tendo la ndoa hamu iliongezeka na utamu hata wa tendo la ndoa ukawa wa ajabu na yeye upande wake nikaona amebadilika nikimfanya anaonekana anaenjoy zaidi na anaonyesha kuridhika, tukawa kama mapacha hadi leo. sikatai, kumekuwa na ups and down kwenye hilo kwamba hatujakaa kama malaika, ila hata tukigombana kidogo tu kwa kauli, haipiti siku, tumeshapatana na tumekumbatiana. sisi huwa tunalala kwa kukumbatiana hadi leo, nilichojifunza ni hiki;
1. shetani ni roho, huwa anaweza kuingia kwa mmoja na kumtumia mgombane, hadi huwezi jua why mnagombana ila mnagombana tu, yeye shetani anawagongesha vichwa, anakaa pembeni anafurahia mnavyoumizana mioyo tena bila sababu za msingi, na kwa njia hiyo, anawarudisha sana nyuma kimaendeleo na kifamilia, anasababisha hadi magonjwa, hadi kuchepuka kwa silaha yake hii.
2. ukimpa Yesu Maisha yako (ukiokoka) akaondoka, kuna kuwa hakuna kugombana na ndoa inabadilika, manake kila mtu anamhofu Mungu, na kuchepuka kunapotea. ELEWA HILI, sisemi wote waliookoka hawagombani, no, hata ukiokoka unaweza kugombana na kuwa na ndoa mbaya, KAMA UMEOKOKA KWA JINA TU SIO KWA ROHO, wokovu wa Mungu ni wa uhakika, kama kweli umempa Yesu maisha na HUNA MICHANGANYO, Mungu akiwa maishani mwako shetani anafanya nini hapo? ataondoka tu, na kama ukienenda kiroho, shetani anaondoka. hao walokole unaona wanahangaika na ndoa, wamefanya michanganyo na wanafungua milango wao wenyewe shetani anaingia na kuwasumbua.
3. hata unyumba, unakuwa mzuri sana kama nyote mmeokoka kwa kweli. why? shetani huwa anaweza kuharibu chochote kama umemruhusu akaingia maishani mwako, kuna pepo mahaba, huwa yanawaingia wanaume kwa wanawake, hao ni maajenti wa shetani, ukiwa nalo utakuta mkeo wa kawaida tu, unaweza hata kulala naye kitanda kimoja ukaenda mzunguko mmoja tu, ila ukitoka unaenda mizunguko mingi na unaenjoy sana, ndio lengo la shetani, anaweza kukukosesha hamu ya tendo kwa mwenza wako ila nje upo fresh tu.
4. kuna watu wanakosa watoto, kumbe shetani amekaa kwenye vizazi vyao, mapepo ambayo ndio maajenti wa shetani, wanakaa kwako, wanakuoa, wanakuotesha mandoto unazini nao, na kiroho unayazalia hadi watoto. hayo ndiyo yanazuia mimba usipate, au mbegu zako zisizalishe. jaribu kwa Mungu, okoka kwa kweli, sio kwa dini, uone. Mungu atakushangaza.
5. kuna mengi naweza kuongea, mwenye shida ajaribu kumtafuta Mungu. Mungu anasema onjeni muone kuwa Bwana ni mwema, heri mtu yule anayemtumaini Bwana, jaribu tu wala usisimuliwe.
Mwenye kunielewa amenielewa.