Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee
Hao ndivyo walivyo mkuu ulipo kuwa single ilikuwa unaingia na Viatu kwako na mda wowote unao utaka unaingiashachoka.Nimeukumbuka uhuruwangu
Ume mkaribisha mwenyewe sasa hivi Viatu una vulia mlangoni
Kufika home mwisho saa 12 jioni af Hera una tafuta wewe 🤣🤣🤣