Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Hapa kuna mawili moja anataka ukipanda kichwani (manipulation) au ulioa mpenzi wa mtu ....kazi kwakoJaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu