Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani


shachoka.Nimeukumbuka uhuruwangu
Hao ndivyo walivyo mkuu ulipo kuwa single ilikuwa unaingia na Viatu kwako na mda wowote unao utaka unaingia

Ume mkaribisha mwenyewe sasa hivi Viatu una vulia mlangoni

Kufika home mwisho saa 12 jioni af Hera una tafuta wewe 🤣🤣🤣
 
Welcome to the shit show
 
Maisha ya ndoa ni uvimilivu kwn mmekutana wote mkiwa wakubwa na kila mtu alikuwa na malezi kutoka kwao na sasa mnaanza familia yenu, hivyo kwanza kabisa mshirikishe Mungu alinde ndoa yenu aepushe roho ya Kiburi, manung'uniko na dharau kwa kila mmoja. Maana ndoa bila kumtanguliza Mungu brother ataacha lkn kuacha sio chanzo cha kumaliza matatizo.
 
Mkuu kama umemchoka nipasie nimalizie nae maisha hao wenye visilani,kununa,kuzalisha migogoro ndio type zangu
 
Komaa nae hukulazimishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…