Naam , negative zipo na nimeshazipitia ila ni chachee sanaaa hazibadishi chochote kwenye kuendelea kufurahi ndoa yangu/yetu.Wasikutishe, mie niko mwaka wa 3 ndoani na njionea raha tu..
Kukoseana kupo, ila raha ni nyingi na kubwa kubwa kuliko hivi vidogo vidogo, ambavyo ni kama hakuna tu.
Enjoy maisha usifikirie negative, we nenda na positive mind tu, ikitokea negative baridi, unajivua gamba maisha yataendelea, ila ukiwa na mawazo megative kichwani utashimdwa kuzila raha zako vizuri.
Faida ni nyingi Kuliko hasara.Uzi tayari
Bro hajaanza kuchepuka?Uzi tayari
Mume...nakuona ujuenjoo pm nikutumie picha ya sindano!
Siku zote nawashangaa wanaolalamika kuhusu ndoa.Wasikutishe, mie niko mwaka wa 3 ndoani na njionea raha tu..
Kukoseana kupo, ila raha ni nyingi na kubwa kubwa kuliko hivi vidogo vidogo, ambavyo ni kama hakuna tu.
Enjoy maisha usifikirie negative, we nenda na positive mind tu, ikitokea negative baridi, unajivua gamba maisha yataendelea, ila ukiwa na mawazo megative kichwani utashimdwa kuzila raha zako vizuri.
Umemaliza Kila kitu yaniFaida ni nyingi Kuliko hasara.
Imagine nikisharudi Home nimechoka na kazi, nimerudi na Posho kadhaa kutoka kwa boss.
Narudi nyumnani nakutana na haya;
1. Mke mzuri, mcheshi
2. Watoto wangu watatu wazuriz wasafi. Wanan'gaa
3. Nyumba ina ng'aa ndani na nje
4. Kitanda kimetandikwa kama cha Mfalme fulani hivi wa Uarabuni.
5. Narudi nikiwa na furaha sana, siri mtaani kwani chakula bora kunanisubiri nyumbani
6. Watoto wangu wanaonipenda wananigombania kila mmoja anataka nimpakate yeye
7. Baada ya kula naingia JFs
8. Napiga viwili vya heshima napumzika
9. Siku inaendelea kuzunga, life goes on.
Ndoa ina raha kubwa sana.
mambo toto..?Mume...nakuona ujue
Nina njaamambo toto..?
ipi..?Nina njaa
Ndoa mpya hii π π π πUzi tayari
Huu ndio ukweli ila wahuni wa Jf ukiona comment zao unabaki unashangaa wanavyo lishana matango pori kuhusu ndoa.Wasikutishe, mie niko mwaka wa 3 ndoani na njionea raha tu..
Kukoseana kupo, ila raha ni nyingi na kubwa kubwa kuliko hivi vidogo vidogo, ambavyo ni kama hakuna tu.
Enjoy maisha usifikirie negative, we nenda na positive mind tu, ikitokea negative baridi, unajivua gamba maisha yataendelea, ila ukiwa na mawazo megative kichwani utashimdwa kuzila raha zako vizuri.
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yakeNdoa mpya hii π π π π
Nipo kwenye basi sasa hivi. Mdada mzuri natural kakimbia mume wake kisa alikuwa anatuma sms Hajibu anapiga simu hapokei. Wakati huo alikuwa yupo mbali na yeye. Na kamwacha ana mtoto mmoja na ana mimba. Baadaye mdada akasema tuachane kila mmoja aendelee na maisha yake. Binti akaondoka na mimba yake. Akajifungua akarudi. Akaanza kuomba msamaha jamaa kagoma kata kata. Kaomba mshenga, wazazi wa mshikaji lakini kagoma. Baada ya hapo dada kaamua kuondoka hata anakokwenda hajui. Ila kamwachia watoto wawili. Mmoja ana miaka 3 na mwingine ana mwaka 1. Analia basi zima. Ikambidi nianze kujua kuna shida.
But kwa kiasi kikubwa naona ni utoto unavunja hii ndoa. Lakini ndoa zinahitaji uvumilivu. Sasa kajua mmewe ana mwanamke mwingine. Ila anatoka na ataishia kudate na mme wa mtu.
Wanadamu wanadamu tujifunze hakuna kitu kipya duniani. Hakuna mtu mkamilifu. Mnatakiwa kuvumiliana. Watoto mnawaleta duniani wanapata shida kisa uadui wenu baada ya ndoa.
Tuache kusikiliza familia zetu sana tunazotoka ndo chanzo cha mifarakano. Ukiwa na upendo zaidi nyumbani kuliko familia unayojenga huwezi jenga nyumba yako. Nyumba unayoipenda sana ilijengwa na baba na mama yako. Je jiulize wewe watoto wako utawarithisha nini? Tujifunze kitu hapa siyo mwandishi mzuri ila naamini nitataeleweka.
Ushapewa Cha asubuhi kitamu umesahau yooteπUzi tayari