Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasome Sheria ya Ndoa (Marriage Act) ya Tanzania ya mwaka 1971. Kuanzia section ya 56 na kuendelea. Utaelewa.Embu fafanua!
Nimerudi siku nyingiUmesharudi???
😂😂tunashukuru kwa kutufikiriaSiogopi nataka na wengine waione hiyo sindano
mi nikajua ile nyengine!, sasa unakwama wapi mpk sasahivi haujala..??Njaa ipo moja tu ya tumbo
Hili liko wazi kakaIla suala la kumpa talaka mama yao, kwakuwa anaitaka mwenyewe, mpe talaka yake, we angalia namna ya malezi ya watoto.
si ndio vizuri kuinjoy lady, na ikikolea zaid usisite kutushirikisha uchachu wake pia, na itapendeza zaid 🐒Kwani Kuna tatizo
Zipo mbili.: Ya kwanza ni hii 💉Tuma hapa hapa!
Uzi huu umekaa kimtego-mtego kweli. Unatuonesha Upande mmoja wa maisha ndoani ili waboboezi wakuambie yale ya Upande wa pili. Bro; ndoa haina Formula(Kanuni) Wapo wanandoa walioumizwa mno na wenza wao hata umauti ukawashukia.Uzi tayari
But with red lines.(limits).No marriage is perfect, those celebrating 30,40,50 years of togetherness, they are celebrating forgiveness, tolerance, ignoring the husband's stupidity, overlooking the wife's misbehavior, etc. *Money does not determine a better marriage but character and loyalty do. ♥️👌
Kuna mwamba mmoja akiusoma huu muandiko atahisi kama kachelewa sana kuvuta jiko. Na mie namshauri hivi bora aendelee kuchelewaFaida ni nyingi Kuliko hasara.
Imagine nikisharudi Home nimechoka na kazi, nimerudi na Posho kadhaa kutoka kwa boss.
Narudi nyumbani nakutana na haya;
1. Mke mzuri, mcheshi
2. Watoto wangu watatu wazuriz
, wasafi. Wanan'gaa
3. Nyumba ina ng'aa ndani na nje
4. Kitanda kimetandikwa kama cha Mfalme fulani hivi wa Uarabuni.
5. Narudi nikiwa na furaha sana, siri mtaani kwani chakula bora kinanisubiri nyumbani
6. Watoto wangu wanaonipenda wananigombania kila mmoja anataka nimpakate yeye
7. Baada ya kula naingia JFs
8. Napiga viwili vya heshima napumzika
9. Siku inaendelea kuzunga, life goes on.
Ndoa ina raha kubwa sana.
Mbona wamempiga ban sasa atajibuje maswali yetu?Sindano bado!
huyo ban ni kama chai kwake!Mbona wamempiga ban sasa atajibuje maswali yetu?
Nilitaka nimuulize yeye ni me au ke?
Kwa mwanamke ni sawa. Ila kama mwanaume nitamshangaa.
Pointi hapo ni moja, kama unapenda watoto, ndoa ndio mahala pake.Faida ni nyingi Kuliko hasara.
Imagine nikisharudi Home nimechoka na kazi, nimerudi na Posho kadhaa kutoka kwa boss.
Narudi nyumbani nakutana na haya;
1. Mke mzuri, mcheshi
2. Watoto wangu watatu wazuriz
, wasafi. Wanan'gaa
3. Nyumba ina ng'aa ndani na nje
4. Kitanda kimetandikwa kama cha Mfalme fulani hivi wa Uarabuni.
5. Narudi nikiwa na furaha sana, siri mtaani kwani chakula bora kinanisubiri nyumbani
6. Watoto wangu wanaonipenda wananigombania kila mmoja anataka nimpakate yeye
7. Baada ya kula naingia JFs
8. Napiga viwili vya heshima napumzika
9. Siku inaendelea kuzunga, life goes on.
Ndoa ina raha kubwa sana.
Binadamu tunatofautiana.Ndoa mpya hii 😂 😂 😂 😂
Nipo kwenye basi sasa hivi. Mdada mzuri natural kakimbia mume wake kisa alikuwa anatuma sms Hajibu anapiga simu hapokei. Wakati huo alikuwa yupo mbali na yeye. Na kamwacha ana mtoto mmoja na ana mimba. Baadaye mdada akasema tuachane kila mmoja aendelee na maisha yake. Binti akaondoka na mimba yake. Akajifungua akarudi. Akaanza kuomba msamaha jamaa kagoma kata kata. Kaomba mshenga, wazazi wa mshikaji lakini kagoma. Baada ya hapo dada kaamua kuondoka hata anakokwenda hajui. Ila kamwachia watoto wawili. Mmoja ana miaka 3 na mwingine ana mwaka 1. Analia basi zima. Ikambidi nianze kujua kuna shida.
But kwa kiasi kikubwa naona ni utoto unavunja hii ndoa. Lakini ndoa zinahitaji uvumilivu. Sasa kajua mmewe ana mwanamke mwingine. Ila anatoka na ataishia kudate na mme wa mtu.
Wanadamu wanadamu tujifunze hakuna kitu kipya duniani. Hakuna mtu mkamilifu. Mnatakiwa kuvumiliana. Watoto mnawaleta duniani wanapata shida kisa uadui wenu baada ya ndoa.
Tuache kusikiliza familia zetu sana tunazotoka ndo chanzo cha mifarakano. Ukiwa na upendo zaidi nyumbani kuliko familia unayojenga huwezi jenga nyumba yako. Nyumba unayoipenda sana ilijengwa na baba na mama yako. Je jiulize wewe watoto wako utawarithisha nini? Tujifunze kitu hapa siyo mwandishi mzuri ila naamini nitataeleweka.