Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

Ndoa na Familia yenye furaha na amani ina Mungu. Yenye mafarakano huzuni na chuki ina shetani

Hakuna cha Mungu wala shetani.

Mume na Mke mkishindwa kuelewana, kupendana na kuvumiliana ninyi wenyewe ndio wenye matatizo.

Hakuna Mungu wala shetani anaye control Maisha ya watu.
 
Mimi sijaandika mtu akabidhi ndoa yake kwa Mungu.
Watu wenye akili na upeo hufanya jitihada maisha yao yaongozwe na Mungu(aliyewaumba) na mara nyingi maisha yao huwa ya furaha, raha na upendo
Uepo wa Mungu mkuu its costant atausipo muomba atakuongoza tu. Kwasbb tunaamini kila jambo linalo tokea kuna mkono wa Mungu, Mungu is omnipotent omnipresent,........kwahiyo yeye katupa faculty of reasoning tujiongoze kwa kupata furaha na amani, tumia akili na viungu vyako vya mwili kutafuta furaha na Amani ya maisha yako.
 
Mkuu, sijawahi kukutana na thread humu ikaongelea ukweli wa maisha ya mahusiano yenye furaha kama hii.

Nipo kwenye furaha na amani, nakiri tunamtanguliza Mungu katika kila jambo.
Mungu yupo kati yetu, tumeuona ufalme wake katika maisha yangu na yule aliyenipangia yeye.

Hongera sana Mkuu.
Najua vita ya ambao hawataki kuwaona mnafuraha ni kubwa. Mashetani hayatalala na najua mnalijua hilo.
Mungu awape Akili na uwezo wa kukabiliana na mashetani na mitego yao.

Role model wenu akiwa Mungu basi kila kitu na jambo mtakishinda
 
Hakuna cha Mungu wala shetani.

Mume na Mke mkishindwa kuelewana, kupendana na kuvumiliana ninyi wenyewe ndio wenye matatizo.

Hakuna Mungu wala shetani anaye control Maisha ya watu.

Ni sawasawa kwa uelewa wako mkuu.
Kipofu au kiziwi anahaki sawasawa na mwenyekuona na mwenyekusikia
 
Uepo wa Mungu mkuu its costant atausipo muomba atakuongoza tu. Kwasbb tunaamini kila jambo linalo tokea kuna mkono wa Mungu, Mungu is omnipotent omnipresent,........kwahiyo yeye katupa faculty of reasoning tujiongoze kwa kupata furaha na amani, tumia akili na viungu vyako vya mwili kutafuta furaha na Amani ya maisha yako.

Akili haiwezi kukupa furaha. Ila upendo ndio unaweza kukupa furaha.
Akili inakusudia kuishi
Upendo unakusaidia kuishi kwa furaha.
Na upendo ili uwe nao lazima umjue Mungu.
Kumjua Mungu ni uwezo wa kusikia sauti ya Mungu isemayo na kuifuata. Sauti ya Haki.
Sauti ya Mungu inafananaje?

Alafu furaha ya mtu haitafutwi. Furaha ya mtu ipo ndani yake.
 
Mtibeli uwe unashuri na maswala mengine ya kijamii... kwasababu naona thread zako nyingi umefocus sana kwenye mapenzi(ndoa) badili mtazamo mkuu
 
Hongera sana Mkuu.
Najua vita ya ambao hawataki kuwaona mnafuraha ni kubwa. Mashetani hayatalala na najua mnalijua hilo.
Mungu awape Akili na uwezo wa kukabiliana na mashetani na mitego yao.

Role model wenu akiwa Mungu basi kila kitu na jambo mtakishinda
Amen
 
Shemeji umemaliza yote kweli unadeserve kuingia kwenye familia yetu Sisy Joannah hapa mume umepata uache sasa kukumbuka ya Misri 🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Mkuu thats a myth, ni kama kusema "vita yenye amani" hiyo haipo you either forgive sacrifice surrender ignore or bow down, ndo utakapo pata Amani na furaha kwenye ndoa ila ndoa ni broad institution zaidi ya 6×6.
"Forgive,sacrifice,surrender,ignore or bow down, ndo utakapo pata Amani na furaha kwenye ndoa"Umeweka maneno machache lakini yana akili nyingi sana,kinyume cha hapo usitegemee muujiza...
 
Katika ubora wako mtibeli japo ndoa ni utapeli kama utapeli mwingine tu.
 
Mtu aonavyo nafsi mwake ndivyo alivyo.

Ukiwa na hasira na chuki na mtu farani ni sawa na kunywa sumu mwenyewe na kutaka hiyo sumu ikamdhuru unayemchukia. Umefili unajiuwa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom