Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Uepo wa Mungu mkuu its costant atausipo muomba atakuongoza tu. Kwasbb tunaamini kila jambo linalo tokea kuna mkono wa Mungu, Mungu is omnipotent omnipresent,........kwahiyo yeye katupa faculty of reasoning tujiongoze kwa kupata furaha na amani, tumia akili na viungu vyako vya mwili kutafuta furaha na Amani ya maisha yako.Mimi sijaandika mtu akabidhi ndoa yake kwa Mungu.
Watu wenye akili na upeo hufanya jitihada maisha yao yaongozwe na Mungu(aliyewaumba) na mara nyingi maisha yao huwa ya furaha, raha na upendo
Mkuu, sijawahi kukutana na thread humu ikaongelea ukweli wa maisha ya mahusiano yenye furaha kama hii.
Nipo kwenye furaha na amani, nakiri tunamtanguliza Mungu katika kila jambo.
Mungu yupo kati yetu, tumeuona ufalme wake katika maisha yangu na yule aliyenipangia yeye.
Hakuna cha Mungu wala shetani.
Mume na Mke mkishindwa kuelewana, kupendana na kuvumiliana ninyi wenyewe ndio wenye matatizo.
Hakuna Mungu wala shetani anaye control Maisha ya watu.
Uepo wa Mungu mkuu its costant atausipo muomba atakuongoza tu. Kwasbb tunaamini kila jambo linalo tokea kuna mkono wa Mungu, Mungu is omnipotent omnipresent,........kwahiyo yeye katupa faculty of reasoning tujiongoze kwa kupata furaha na amani, tumia akili na viungu vyako vya mwili kutafuta furaha na Amani ya maisha yako.
Mtibeli uwe unashuri na maswala mengine ya kijamii... kwasababu naona thread zako nyingi umefocus sana kwenye mapenzi(ndoa) badili mtazamo mkuu
AmenHongera sana Mkuu.
Najua vita ya ambao hawataki kuwaona mnafuraha ni kubwa. Mashetani hayatalala na najua mnalijua hilo.
Mungu awape Akili na uwezo wa kukabiliana na mashetani na mitego yao.
Role model wenu akiwa Mungu basi kila kitu na jambo mtakishinda
"Forgive,sacrifice,surrender,ignore or bow down, ndo utakapo pata Amani na furaha kwenye ndoa"Umeweka maneno machache lakini yana akili nyingi sana,kinyume cha hapo usitegemee muujiza...Mkuu thats a myth, ni kama kusema "vita yenye amani" hiyo haipo you either forgive sacrifice surrender ignore or bow down, ndo utakapo pata Amani na furaha kwenye ndoa ila ndoa ni broad institution zaidi ya 6Γ6.
Leo sitaki maswali kasema piaMada nzuri ila muandishi ana muhemko