Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani yako kwa kadiri ya mtazamo wako ikupe furaha ya kiasi chako.Mimi sio mtu wa hizo imani na kwa nini umesema hivyo ?
Mfumo wa maisha wa kundi fulani la watu umegeuka kuwa ndio mfumo wa maisha wa jamii nzima hii si sawa kabisa.Watakuja kukubishia lakini ndio ukweli wenyewe...... kila kitu ni chema kama kimeibeba maana yake
Yapo mambo mengi ya msingi tumetumwa kuyafanya duniani kwa sifa na utukufu wa Mungu
Huwa najiuliza tunaodhani ndoa ni lazima ndoa zao zimebeba sifa gani
Na wale tunaodhani kuwa na watoto ni lazima tulishawahi kujiuliza tuliowazaa ni kina nani?
Tupe kamstri ka bible ka kupinga vita mapenzi bila ndoaMm ninaweza kukubaliana na ww linapo kuja kwenye suala la mahusiano hasa haya ya kiholela ya bila ndoa, hayo mapenzi bila ndoa hata mungu aliye tuumba ameyapiga vita maana yameshababisha uzinzi wa kiholela na madhara ya huo uzinzi wa kiholela tunayaona mitaani.
Umesababisha single mother, umejaza watoto wasio kuwa na baba mitaani,umefukarisha watu sio vijana wala wazee.
Lakini ndoa ni kitu cha razima maana ni kitu kilicho amuliwa na mungu.
AminaMm ninaweza kukubaliana na ww linapo kuja kwenye suala la mahusiano hasa haya ya kiholela ya bila ndoa, hayo mapenzi bila ndoa hata mungu aliye tuumba ameyapiga vita maana yameshababisha uzinzi wa kiholela na madhara ya huo uzinzi wa kiholela tunayaona mitaani.
Umesababisha single mother, umejaza watoto wasio kuwa na baba mitaani,umefukarisha watu sio vijana wala wazee.
Lakini ndoa ni kitu cha razima maana ni kitu kilicho amuliwa na mungu.
Ndoa sio hitaji la msingi la mtu hakuna mahali ndoa imejumuishwa kama ni miongoni mwa mahitaji ya msingi ya mtu kuwa lazima aya pate.Mm ninaweza kukubaliana na ww linapo kuja kwenye suala la mahusiano hasa haya ya kiholela ya bila ndoa, hayo mapenzi bila ndoa hata mungu aliye tuumba ameyapiga vita maana yameshababisha uzinzi wa kiholela na madhara ya huo uzinzi wa kiholela tunayaona mitaani.
Umesababisha single mother, umejaza watoto wasio kuwa na baba mitaani,umefukarisha watu sio vijana wala wazee.
Lakini ndoa ni kitu cha razima maana ni kitu kilicho amuliwa na mungu.
Kwenye biblia ina sema mzinzi hana akili na anafanya kitu kitakacho angamiza nafisi yake.Tupe kamstri ka bible ka kupinga vita mapenzi bila ndoa
Tupe kamstri ka bible ka kupinga vita mape
Unachanganya kati ya mapenzi na zinaa, kati ya hivi vitu viwili, kila kimoja kinaweza kusimama peke yake bila uwepo wa mwenzake. Mapenzi ni hisia zitokazo moyoni na zinaa ni msukumo wa nyege kutoka viunoni. Unaweza kuzini pasipo mapenzi na unaweza kupenda pasipo zinaa.Kwenye biblia ina sema mzinzi hana akili na anafanya kitu kitakacho angamiza nafisi yake.
Na kwenye quruan ina sema na msiikaribie zinaa hakika ya zinaa ni uchafu na mzinu yeyote ni mchafu mbele ya mungu wake.
Mkuu kila kitu huwa na umuhimimu kutokana na wakati uliopo, mfano simu, magari,ndege,mabarabara,umeme sidhani kama binadamu asipo kuwa nayo atakufa, lakini kutokana na ulimwengu ulivyo kwa sasa hivyo vitu ni muhimu kwa binadamu na asipo kuwa navyo ataishi maisha magumu sana.Ndoa sio hitaji la msingi la mtu hakuna mahali ndoa imejumuishwa kama ni miongoni mwa mahitaji ya msingi ya mtu kuwa lazima aya pate.
Ngoja nitumie lugha rasihi ili unielewe , kuingiza uume kwenye uke wa mwanamke asiye kuwa halali yako ni dhabi kubwa.nzi bila ndoa
Unachanganya kati ya mapenzi na zinaa, kati ya hivi vitu viwili, kila kimoja kinaweza kusimama peke yake bila uwepo wa mwenzake. Mapenzi ni hisia zitokazo moyoni na zinaa ni msukumo wa nyege kutoka viunoni. Unaweza kuzini pasipo mapenzi na unaweza kupenda pasipo zinaa.
Hayo mateso kama yapi ? Na huo upweke mkubwa una dhani kila mtu unaweza kumkumba ambaye ndoa na mahusiano ya kimapenzi sio mahitaji ya msingi kwake ?Mkuu kuoa ni muhimu maana kuna umri fulani ukifikisha usipo kuwa na familia utaishi maisha ya mateso na upweke mkubwa hata kama una pesa kama mchanga.
Umuhimu wa ndoa na mahusiano ya kimapenzi kwa mtu ambaye sio mahitaji yake ya msingi ni upi ?Mkuu kila kitu huwa na umuhimimu kutokana na wakati uliopo,
Ni umri gani huo ?Kwa hiyo kuna umri fulani ukifika kutafuta mwenza wa kufunga naye ndoa inakuwa muhimu
Umri gani huo ?Mkuu kuoa ni muhimu maana kuna umri fulani ukifikisha usipo kuwa na familia utaishi maisha ya mateso
Kwani usipo jenga mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote ni lipi hitaji la msingi wewe kama mtu una kosa ?mwenyezi mungu mpaka aje kumuumba mwanamke na mwanaume alikuwa na maana yake tofauti na hapo basi angeumba wanawake tu au wanaume tu.
kama anaona mapenz kwakwe sio ishu akaushie tu aendelee na maisha mengiAnaweza kuwa ana zaidi ya miaka 30.Kuna mambo yanawasukuma kuwa na mawazo hayo:
-Kukata tamaa maishani ya kupata mwenza.
-Kutokuwa na chanzo cha kudumu kimapato.
-Kuwa na muathiriko wa kisaikolojia hasa kutokana na aliyowahi kushuhudia,kupigwa matukio au hata kupiga mtu tukio halafu akaathirika mwenyewe.
-Matatizo ya kiafya kimwili kama vile kutokuwa au kupungua nguvu za kiume/kike.
-Kutengwa na jamii ambapo huchukia jamii yote na kujichukia mwenyewe
Siweki nukta kuna sababu nyingi zaidi
Em onesha kfung kinachosema kuwa ndoa n LAZIMA...Mm ninaweza kukubaliana na ww linapo kuja kwenye suala la mahusiano hasa haya ya kiholela ya bila ndoa, hayo mapenzi bila ndoa hata mungu aliye tuumba ameyapiga vita maana yameshababisha uzinzi wa kiholela na madhara ya huo uzinzi wa kiholela tunayaona mitaani.
Umesababisha single mother, umejaza watoto wasio kuwa na baba mitaani,umefukarisha watu sio vijana wala wazee.
Lakini ndoa ni kitu cha razima maana ni kitu kilicho amuliwa na mungu.