cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ila umekuja kufanyajeee?? Unaelewa maana ya mahitaji ya msingi?Mkuu mbona nimetoa maelezo ya kutosha ambayo hata mtoto wa darasa la 2 atayaelewa?
Ww una sema mahitaji muhimu kwa binadamu ni malazi,mavazi,na chakula lakini unacho takiwa kujua ni kuwa duniani hujaja kula, kulala,na kuvaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app