Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

Mfumo wa maisha wa kundi fulani la watu umegeuka kuwa ndio mfumo wa maisha wa jamii nzima hii si sawa kabisa.
 
Tupe kamstri ka bible ka kupinga vita mapenzi bila ndoa
 
Amina
 
Ndoa sio hitaji la msingi la mtu hakuna mahali ndoa imejumuishwa kama ni miongoni mwa mahitaji ya msingi ya mtu kuwa lazima aya pate.
 
Tupe kamstri ka bible ka kupinga vita mapenzi bila ndoa
Kwenye biblia ina sema mzinzi hana akili na anafanya kitu kitakacho angamiza nafisi yake.
Na kwenye quruan ina sema na msiikaribie zinaa hakika ya zinaa ni uchafu na mzinu yeyote ni mchafu mbele ya mungu wake.
 
Tupe kamstri ka bible ka kupinga vita mape

nzi bila ndoa

Kwenye biblia ina sema mzinzi hana akili na anafanya kitu kitakacho angamiza nafisi yake.
Na kwenye quruan ina sema na msiikaribie zinaa hakika ya zinaa ni uchafu na mzinu yeyote ni mchafu mbele ya mungu wake.
Unachanganya kati ya mapenzi na zinaa, kati ya hivi vitu viwili, kila kimoja kinaweza kusimama peke yake bila uwepo wa mwenzake. Mapenzi ni hisia zitokazo moyoni na zinaa ni msukumo wa nyege kutoka viunoni. Unaweza kuzini pasipo mapenzi na unaweza kupenda pasipo zinaa.
 
Ndoa sio hitaji la msingi la mtu hakuna mahali ndoa imejumuishwa kama ni miongoni mwa mahitaji ya msingi ya mtu kuwa lazima aya pate.
Mkuu kila kitu huwa na umuhimimu kutokana na wakati uliopo, mfano simu, magari,ndege,mabarabara,umeme sidhani kama binadamu asipo kuwa nayo atakufa, lakini kutokana na ulimwengu ulivyo kwa sasa hivyo vitu ni muhimu kwa binadamu na asipo kuwa navyo ataishi maisha magumu sana.

Kwa hiyo kuna umri fulani ukifika kutafuta mwenza wa kufunga naye ndoa inakuwa muhimu maana mwenyezi mungu mpaka aje kumuumba mwanamke na mwanaume alikuwa na maana yake tofauti na hapo basi angeumba wanawake tu au wanaume tu.
Mkuu kuoa ni muhimu maana kuna umri fulani ukifikisha usipo kuwa na familia utaishi maisha ya mateso na upweke mkubwa hata kama una pesa kama mchanga.
 
Ngoja nitumie lugha rasihi ili unielewe , kuingiza uume kwenye uke wa mwanamke asiye kuwa halali yako ni dhabi kubwa.
 
Mkuu kuoa ni muhimu maana kuna umri fulani ukifikisha usipo kuwa na familia utaishi maisha ya mateso na upweke mkubwa hata kama una pesa kama mchanga.
Hayo mateso kama yapi ? Na huo upweke mkubwa una dhani kila mtu unaweza kumkumba ambaye ndoa na mahusiano ya kimapenzi sio mahitaji ya msingi kwake ?
Mkuu kila kitu huwa na umuhimimu kutokana na wakati uliopo,
Umuhimu wa ndoa na mahusiano ya kimapenzi kwa mtu ambaye sio mahitaji yake ya msingi ni upi ?
Kwa hiyo kuna umri fulani ukifika kutafuta mwenza wa kufunga naye ndoa inakuwa muhimu
Ni umri gani huo ?
Mkuu kuoa ni muhimu maana kuna umri fulani ukifikisha usipo kuwa na familia utaishi maisha ya mateso
Umri gani huo ?
mwenyezi mungu mpaka aje kumuumba mwanamke na mwanaume alikuwa na maana yake tofauti na hapo basi angeumba wanawake tu au wanaume tu.
Kwani usipo jenga mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote ni lipi hitaji la msingi wewe kama mtu una kosa ?
 
kama anaona mapenz kwakwe sio ishu akaushie tu aendelee na maisha mengi

Kwa sisi mapenz hayatusumbui atuache tuendelee kufurahia dunia.
 
Em onesha kfung kinachosema kuwa ndoa n LAZIMA...
 
Mleta mada yuko sahh sana., binafsi huwa najihs uncomfortable mwanamke akianza kunizoea zoea na kuanza kunionyesha feelngz za mapenz., af ngono/ndoa si hitaji la kibiologia kama ulivyo huitaji wa chakula...
 
Umeeleweka vyema, ila jibu haya kwanza

Kwa nini kuna watu hawaelewi kama wanahitaji mahusiano au laa(sitaki nataka).. Hoja yako ni Sawa kama kila mmoja angebaki upande mmoja.

Pili, Inalazimika kwa sababu ya msukumo wa kimwili(maumbile)

Mwisho, hayo mahitaji kama chakula malazi na mavazi, yanawahusu binadamu, je hao binadamu wanatakiwa wawe zao la mahusiano bora au uzinzi? Au watokane na kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…