Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

Mkuu mbona nimetoa maelezo ya kutosha ambayo hata mtoto wa darasa la 2 atayaelewa?
Ww una sema mahitaji muhimu kwa binadamu ni malazi,mavazi,na chakula lakini unacho takiwa kujua ni kuwa duniani hujaja kula, kulala,na kuvaa tu.
 
Em onesha kfung kinachosema kuwa ndoa n LAZIMA...
Kitendo cha mwenyezi mungu kukataza mapenzi nje ya ndoa kinatosha kukudhitishia kuwa hakuna mbadara wa ndoa.
 
Watu ni uzao wa luxury needs mfano ngono haijalishi imetendeka katika kifungo cha ndoa au laa.
 
Mkuu mbona nimetoa maelezo ya kutosha ambayo hata mtoto wa darasa la 2 atayaelewa?
Ww una sema mahitaji muhimu kwa binadamu ni malazi,mavazi,na chakula lakini unacho takiwa kujua ni kuwa duniani hujaja kula, kulala,na kuvaa tu.
Kwa hiyo umekuja kufanya nini naomba uni julishe ?
 
Mleta mada yuko sahh sana., binafsi huwa najihs uncomfortable mwanamke akianza kunizoea zoea na kuanza kunionyesha feelngz za mapenz., af ngono/ndoa si hitaji la kibiologia kama ulivyo huitaji wa chakula...
Sifahamu kuhusu jinsia ya kike, ila kwa wanaume (waliopevuka) hitaji la ngono ni namba 1, mahitaji mengine yote yanasubiri😁
 
Unajaribu kujiconsole tu
 
Kasome Maslow's hierarchy of human needs
 
Sio hitaji la lazima kutekeleza, lipo kundi la watu katika jamii lisilo tilia maanani swala hili.
Hakuna ulazima wa kupendwa.
mahitaji ya sex
Lipo kundi katika jamii lisilo tilia maanani swala hili, hivyo ulazima lina kosa.
kuhitaji kuheshimiwa
Kuheshimiwa ni maamuzi ya mtu wala si swala la ulazima kama hitaji la msingi mtu ana hitaji kutekelezewa.
kuhitaji uongozi
Kwa minajiri ipi ?
 
Mleta mada yuko sahh sana., binafsi huwa najihs uncomfortable mwanamke akianza kunizoea zoea na kuanza kunionyesha feelngz za mapenz., af ngono/ndoa si hitaji la kibiologia kama ulivyo huitaji wa chakula...
Ume eleweka vyema kabisa ndugu.
 
Ni muhimu sio lazima.
Jua kutofautisha hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…