Mkuu mbona nimetoa maelezo ya kutosha ambayo hata mtoto wa darasa la 2 atayaelewa?
Ww una sema mahitaji muhimu kwa binadamu ni malazi,mavazi,na chakula lakini unacho takiwa kujua ni kuwa duniani hujaja kula, kulala,na kuvaa tu.
Ngazi ya mahitaji ya binadamu ukianzia na chakula, malazi, mavazi, kupenda, kupendwa, mahitaji ya sex, na kuendelea mpaka ngazi ya kuhitaji kuheshimiwa, kuhitaji uongozi n.k