Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Embu fanya kunishawishi.Kwasababu nimesema hapimwi kwa kukufanyia house chores, haimaanishi nimesema anapimwa kwa hizo ulizoandika.
Inaonekana upo vizuri kwenye kuhisi wengine wanataka kusema nini, na bahati mbaya unakosea.
Hapimwi kwa mwonekano either.
Kwanini uishi sehemu chafu? Kwanini usifanye usafi nyumbani kwako?. Wote mnatakiwa mjue kufanya usafi na muwe mnafanya usafi kwenye nyumba zenu. Na mwanamke wa kuoa hapimwi kwa vitu hivyo.
Kwasababu nimesema hapimwi kwa kukufanyia house chores, haimaanishi nimesema anapimwa kwa hizo ulizoandika.
Inaonekana upo vizuri kwenye kuhisi wengine wanataka kusema nini, na bahati mbaya unakosea.
Hapimwi kwa mwonekano either.
Anapimwa na nini kama sio kwa vilivyoainishwa...Kwasababu nimesema hapimwi kwa kukufanyia house chores, haimaanishi nimesema anapimwa kwa hizo ulizoandika.
Inaonekana upo vizuri kwenye kuhisi wengine wanataka kusema nini, na bahati mbaya unakosea.
Hapimwi kwa mwonekano either.
kumatain shobo katika mapenziOk!
Tujifunze nini kwa andiko hili.
Mzee wa kugusa umeongea kwa hisia sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani atakubali huo ushenzi. Yani the moment unasema mpo kwa mahusiano ya muda mfupi jua tu hutapata unachokitaka kabisa. Labda ukafanyie hako kamchezo Kimboka.
Kwahiyo ulimtega?Kuna mdada nilimfokea sana alinikera sana
ilikua hivi alikuja home akasema ana njaa nikamwambia chemsha mayai, makusudi nikaenda kuweka sufuria kubwa kwenye jiko nikitegemea ataniuliza/atachukua sufuria dogo kwa kua yapo wazi tu
aiseeee si akachemshia mayai ma 3 kwenye sufuria la kilo 2
nilimsema kwakweli, huu uvivu ni wa SGR
Kwahiyo ulimtega?
Sasa kama ulimtengea Hilo motoni alijua unatumia Hilo kuchemsha.
Binafsi sijaona kosa lake.
Kumbuka hizo chores kila mtu anaweza kuzifanya lakini kuna vitu vinapatikana ndani ya "mtu" na sio ndani ya "kila mtu" kwa sababu si kitu unachoweza kufake. Usishawishike na vitu ambavyo mtu anaweza kuvi-fake na kukufanyia hata kama hakupendi.Embu fanya kunishawishi.
Mimi ni kijana nayependa mwanamke anayesali, kutimiza wajibu wake kama alivyoamriwa toka uumbaji wake and yes awepo Mnene yaan minofu iwepo., Nakama ni mwembamba anihakikishie kua atanenepa nikimtunza.
Yangu nihayo tu .... Mambo ya elimu,kazi, sijui mann mengine hayo ni yakwake wala hayatokaa kua sehem maamuzi yangu kumuelekea mwanamke..... Sababu naamini katika MWANAUME KICHWA.
Haya embu fanya kunishawishi kwa kile ulichonacho ambacho unajua licha yakua ivo nilioandika huna, bado ulichonacho kinatosha kunifanya nnikuone kama mke mtarajiwa .
Au ndo utabakia kuacha mimi nifanyr hatua weee, ukiona nmeeleweka ndio nawee upige hatua?.
Lakini si ulimtengea mwenyewe!huwezi kuchemshia mayai kwenye msufuria mkubwa kwa akili ya kawaida kabisa wakati sufuria ndogo unaziona pembeni
Kumbuka hizo chores kila mtu anaweza kuzifanya lakini kuna vitu vinapatikana ndani ya "mtu" na sio ndani ya "kila mtu" kwa sababu si kitu unachoweza kufake. Usishawishike na vitu ambavyo mtu anaweza kuvi-fake na kukufanyia hata kama hakupendi.
Pili isitoshe hayo ni majukumu ya mwanamke, ni sawa mimi nipende kuolewa na wewe kwa sababu ni provider mzuri wa familia. Hilo ni jukumu la kila mwanaume lakini kuna vigezo ambavyo ni muhimu kuangalia kama,
Kindness.
Awe na uwezo wa kukufanya ucheke.
Muwepo na sexual chemistry.
Honestly/very open.
Supportive
Anakuheshimu.
Are you happy with her? Je ana furaha kuwa na wewe?
Je yupo tayari kuzaa watoto na wewe? Nk
Ulimuonea sana.Kuna mdada nilimfokea sana alinikera sana
ilikua hivi alikuja home akasema ana njaa nikamwambia chemsha mayai, makusudi nikaenda kuweka sufuria kubwa kwenye jiko nikitegemea ataniuliza/atachukua sufuria dogo kwa kua yapo wazi tu
aiseeee si akachemshia mayai ma 3 kwenye sufuria la kilo 2
nilimsema kwakweli, huu uvivu ni wa SGR
Nikupinge katika hili....mwanamke wa ndoto zako ni yule atakayeweza kuendana na matakwa yako na miongoni mwa matakwa yetu wanaume ni hayo unayoyapingaHizo mutu achana nazo zina aleji na wanawake..wanaonaga wanawake kama viazi vile..kila ishu inayohusu wanawake wapooo..kama unanibishia, anza kufanya observation kuna certain ID za kiume, sijui mama zao walikosa nini katika malezi yao lazima ishu za wanawake ziwaminye watoke huko waliko......hahaahahah usimuoe mwanamke wa ndoto zako..eti unaoa yule anayejua kukufulia 'jinsi' hio ni akili au matope?? ndio maana wanaume wengi wanaishia kuchepuka.........by the way siku hizi kuna ma dish washer kariakoo pamoja na washing mashine....lol
Kula bapa mkuu...Wadanganye kama wataolewa Tuko hapa
Yaan uje kwangu et kazi yako iwe ni kutoa K na kunipigisha stories , ndan kuchafu?? Kila kitu hakipo sawa???
Alafu hapo utegemee ukitaka kuondoka nikupe Pesa????.....
Daahhh maaamake.
KWA TAARIFA YENU, NA HILI MLIJUEE NA MLIWEKE VICHWANI VYENU......
***SISI WANAUME TUNATAFASIRI KUJALIWA, KUHESHIMIWA, KUFULIWA, KUPIKIWA NA VITU VYA IVO KUA NDIO UPENDO YAAN HAPO UNAMUONA HUYU NI MWANAMKE ANAYEKUPENDA SANAAA ANAFAA KUWEKWA NDANI CHAP***.
nakupa mfano mimi mwenyewe ... Niliwahi date na Dada mmoja Mmarangu mweupe peeee, makalio makubwaaaa. Hips zimekimbianaaa, pisi kweliiiii yaaan ulikua ukipita naye ntaaan ni kelele tu za vijana ... ila ya ndani ilikua ni siri yangu.( kama unavyowashauri hapa).
Akilala saa nne usiku, kuamka ni saa tano asubuhi .... Alafu hapo hapo akitaka kuondoka unaona anavyohangaikia kukodoa macho Wallet ilipo... ( wamarangu na Pesa ni mtoto shikamoooo kwa Baba na mama)
One day nilimwambia Mama unakuaje. Mbona hivi??? Ohoooo hujanioaaa , oooohoo toa mahari kwanza .
Am a Hardliner in Nature , nilimwacha siku moja kwa ujumbe wa meseji tu bila mbwembwe.
NB.. Umeshaumbwa mwanamke na umeshayaanza Mapenzi acha mambo mengi, namengi yasiwe mambo, chukua nafasi yako kama mwanamke , kama HANA MPANGO wakukuoa basi haikua Ridhiki yako.
Mwanamke ukikubali kumtendea mwanamume kwa jinsi ya ndoa wakati si mke wake ujue umejitoa kumstarehesha wakati anajipanga kutafuta mke wa ndoa "mwenye kujitambua." Hakuna mwanamume atakayekuwa tayari kuoa "mama huruma .Kila mtu anapenda kufunga ndoa na kuwa na familia. Bahati mbaya kwetu wanawake ni mwanaume anaefanya maamuzi kuwa huyu ndiye ananifaa katika safari ya maisha. Hapa hakuna formular wengine watapenda binti mzuri, wengine wanapenda kwasababu ni kabila moja, wengine wanapenda msomi ni mambo mengi.
Unakuta dada amemuona mkaka na amempenda, anajiwekea kabisa huyu lazima anioe . Anaanza kumfulia nguo, kusafisha nyumba yake kumpigia. Ukiwa unafanya yote hayo pia angalia uhusiano wenu una afya gani. Usiwe wewe wa kufua na kupiga pasi wakati hata kwa marafiki zake hakutambulishi.
Basi kuna mmoja wakati amemaliza kupiga pasi nguo za ‘honey wake’ anaziweka kabatini alikutana na engagement ring. Akijua hii nitavalishwa mimi, acha ajiongeze kwa mwanaume Yule. Kumbe pete ile jamaa aliinunua amvishe mpenzi wake aliyepanga kumuo huko siku za badae. Pale alikuwa anapoteza muda tu akimsubiri mtarajiwa wake.
Nikupinge katika hili....mwanamke wa ndoto zako ni yule atakayeweza kuendana na matakwa yako na miongoni mwa matakwa yetu wanaume ni hayo unayoyapinga