Ndoa ni jambo la Kheri lakini wa dada msiache ndoa iwafanye muwe watumwa wa mapenzi

Unaweza kufua na ukaolewa

Unaweza lufu ana usiolewe

Mwanaume anajua mwanamke wa kupiga na wa kuoa

Mi mke wangu nilikwambia kbs kabla sijamuoa ukija utafua na kuosha vyombo nakupiga utake usitake sababu hata mimi sio baba ako lakini nakusaidia mahitaji mbali mbali.

Mwanzo alianza kuniletea u strong woman baada akajua kbs huyu mtu kibr maana akija mi nanunua nyama na mazagazaga yote namwambia andaa chakula halafu hata sisubiri discussion na endelea zangu na seasons

Na mbona nilimuoa huyo huyo formula haipo lkn mwanaume asuyekupenda anajulikana vzr sanq sema ubishi wenu wa kijinga na kupenda msipopendwa ndo tatizo
 
Nikupinge katika hili....mwanamke wa ndoto zako ni yule atakayeweza kuendana na matakwa yako na miongoni mwa matakwa yetu wanaume ni hayo unayoyapinga
Exactly brother...Hili wanawake waliofeli mahusiano wengi ndio lilikuwa kosa lao bila wao kutambua. Akaze kichwa tu...ndoa ataishia kuiona kwenye page za ma MC tu!
 
Sijui ni kirusi gani ila mwanamke huwa anakomaliaga kule ambako hapendwi ndio dah. Kama uchawi, anaweza kumkataa mtu serious kabisa akakomaa na kibuushuti anaemdunda makofi na kumpa stress za kila aina.

Ndio maana nahisi njia nzuri ya kudumu na mwanamke ni kumuweka ki roho juu juu muda wote. Hapo atakupa heshima full. Ila ukimpa relaxation tu yeye ndio anakuwa mtu wa kukufanyia vituko tu always.
 
Mwanamke afanye hayo yote uliyoyaorodhesha kwa mapenzi tu na si kwa matarajio ya ndoa. Ndoa ni mipango ya Mungu. Ukifanya hayo yote kwa matarajio ya kuna kuolewa utavunjika moyo sana. Tens wema uende zako usingoje shukrani.
Muombe Mungu akupe MTU sahihi mtakaye Tanana. Nate amtamleta kwa wakati wake yeye (Mungu) na siyo wakati wako wewe muombaji. Na hapo ndiyo matatizo yanapoanzia.
 
Exactly brother...Hili wanawake waliofeli mahusiano wengi ndio lilikuwa kosa lao bila wao kutambua. Akaze kichwa tu...ndoa ataishia kuiona kwenye page za ma MC tu!
Ma mc wenyewe kina Pilipili hahah....
Tatizo movie za kihindi na kikorea zinawaharibu hawa dada zetu,eti uzuri....wanaujua uzuri hawa? Kwanza wanawake wanaosadikika kuwa ni wazuri ndio wanaoongoza kwa kutumiwa kama vimada na si kuwekwa ndani,ye anashindwa kujiongeza...halafu bila ya aibu ni vipi jinsia ya 'ke' ikayafahamu zaidi mahitaji ya 'me' kwa 'ke' zaidi ya 'me' wenyewe....inatafakarisha mno kwa kweli
 
Ndio jambo la msingi. Tatizo mahusiano ya sikuhizi yameegama kwenye maslahi binafsi zaidi. Mwanamke hampendi mwanaume ila anapenda hela zake, wanaume ambao sio concious wanaumizwa sana eneo hili.

Kumsoma mwanamke ni ishu muhimu sana halafu mwanamke ambaye yuko kimaslahi kumkamata ni rahisi tu. Mkatie huduma ghafla uone jinsi atakavyo respond. We sema sina hela tu kila wakati uone balaa lake.

Hamna namna mwanamke fake atavumilia ukosefu wa pesa katika mahusiano bila kutoa povu au kukimbia kabisa.

Kingine wengi hukimbia majukumu ya asili.Atataka mstareheshane kitandani tu ila kazi za kawaida ataingiza baridi.
 
Then haupo serious na mahusiano ya ndoa unapenda ngono tu.....

Maana u tayari ni upi unaoutaka wewe?! Hadi uwe na vogue, jumba la kifahari na kipato cha milioni 10 kwa mwezi..... Ni kipi hasa unataka uwe tayari nacho?!
Ukiskia interview ya mama Nandy na dada yake Nandy juu ya ndugu yao kuolewa na Bill Nass na majibu waliotoa utaelewa utayari gani unazungumziwa brother 🀣🀣🀣!

Kama kuoa ingekuwa kuvika pete tu hata mie ningekuwa nishaoa.
 
Kipimo cha mwanamke mpumbavu ni hiko tu!

Huhitaji Rocket science kumtambua mwanamke wa hovyo kama ikiwa hata yale majukumu ya asili ya akina mama anayapinga. Mambo ambayo mama yake na bibi yake alikuwa akiona wanayafanya na still wanayafanya japo umri unakuwa umeenda.

Ni sawa na mtoto wa kiume apewe kazi halafu aanze kulalamika kwamba anasumbuliwa, ikiwa ni kwenda kujitaftia maisha yake mwenyewe. Lazma utaweka doubt katika ufikiri wake.
 
Maisha ni mepesi tu sie ndio huyacomplicate kwa kuweka matarajio makubwa. Kuwa kwenye mahusiano, kuwa huru just do you na usisikilize kelele kelele. Mwisho wa siku ndoa ni majaaliwa, ikitokea(kwa wanaohitaji) poa na isipotokea pia poa tu maana maisha lazima yaendelee.
Ni mpenzi wako na unampenda(kama hakupendi hiyo ni loss yake wala isikutese) then we mfulie,mpikie,mfanyie usafi vile moyo wako unakutuma kumfanyia as long as anakujali. Kama hujisikii kumfanyia hayo pia usijilazimishe.

Hii ya kukazana kuiwaza ndoa ndio huwablind watu hata kupuuzia yale ya msingi ambayo baadae anakuja kuyajutia kisa tu alitaka ndoa.
 
Relax kwanza hebu kunywa maji useme shida yako ni nini
 
Wengi si wanakuwaga macho juu juu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka kwa huyo dada sijui alikuwa katika hali gani alichokitarajia sicho kilichotokea..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Si tu kuoa, bali nimeoa wa kufanana nae kila kitu! Hapa nimepaki gari bank kaenda ATM kutoa pesa, ni account yangu nimeona uvivu kushuka!

Jaribu wewe kama hutarudi unalia humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa mkuu anakupa nini huyu mnayefanana kila kitu? Hahahahahah.....kweli ukistaajabu ya Bashite utayaona ya Gwaji boy
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka kwa huyo dada sijui alikuwa katika hali gani alichokitarajia sicho kilichotokea..πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu ni uchochezi wa kiwango cha SGR kabisa
 
Mwanaume anaweza akamuacha mwanamke ambaye akienda kwake anamfanyia kazi zote za ndani, akaja kumuoa mwanamke ambaye akienda kwake anakuwa kama ameenda hotelini.

Wakati mwingine sijui huwa tunakwama wapi, mtoa mada asante kwa hili funzo.
 

Ni heri ungejisemea nafsi yako...kuna washikaji wenzetu hata wafanyiwe nini bado hawaoi wanawake wa hivyo.

Usiseme tu eti haikuwa ridhiki...as if mwanaume kutokuwa na mpango wa kumuoa mwanamke wa hivyo ni sawa.
 

Naam
Umenena vyema
 

Wao wanapenda emotional tension

Hiyo km haipo lzm aanze visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…