Ndoa ni jambo la Kheri lakini wa dada msiache ndoa iwafanye muwe watumwa wa mapenzi

Haha i mean no offense mkuu but i gotta say this...unaongea as if wewe usipooa kuna kitu/vitu unapunguza kwa mtu/watu...
Hapana sina nachompunguxia.


Ila Nasimamia sana nafasi yangu ya uchaguzi wakilicho bora.

Yaann nihangikieee akati nina nafasi bado ya kuchagua??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka eti sabuni za unga za kupima
 
Kama yule Nyenyere.
Anaonekana mahusiano yake yanaboa sana. Maana kila kukicha wanawake hivi wanawake vile.
Mtu mwenye furaha kwenye mahusiano yake hawezi kuwa na uchungu vile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukamuoa?
 
nimemkuta anafua nguo zake dry cleaner na ku nyooshwa huko na yuko happy kabisa ... na alikua anamtu wake anakuja kufanya usafi anamlipa na nikwambie kitu mimi sio mtu wa kwenda kulala nje ya kwetu eti nalala kwa mwanaume kabla ya ndoa asubuhi niamke hapo eti nianze sijui mikazi hapana...
Kwanza hongera, ndani ya miezi mitatu tu mmekutana na mmeoana ....

Kwamba iyo miezi mitatu ulikua ukimtembelea humfanyiii chochote ??

Na bado mwamba akakuoa .Ningekua mimi Nisingekuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…