Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

Mkuu siyo kweli kabisa! Wapo wanawake waliokuwa Malaya, lakini walipoolewa walitulia kabisa katika ndoa zao!
Wengine wanakuwa malaya kutokana na shida na umasikini si kwamba walitaka!
Tujaribu kubadili mind set zetu kuhusiana na wanawake!

Mkuu kuna wanaume wengi hawapendi kabisa Mwanamke malaya, aliyewahi kuwa malaya, na atakayekuja kuwa Malaya.

Kanuni zipo wazi.
Kama hutaki Mwanamke malaya. Oa asiye malaya.
Kama atabadilika akawa malaya unafukuzia mbali, unaoa mwingine asiye malaya. Hivyohivyo mbona wazee wa zamani walifanikiwa
 
Miaka hii hakuna wanawake wema mzee wengi wamekaa kimalaya malaya

Ninavyojua Wanawake ni walewale tangu miaka hiyo.
Hakuna tofauti kati ya Mwanamke wa enzi za Yesu na wa sasa. Ni walewale tuu.

Wapo malaya na wapo ambao sio Malaya.
Sio ajabu hata kina Ibrahim wakati wanachumbia au kutafutia vijana wao Wake walikuwa na sehemu maalum za kwenda kuchagua hao wake. Na vigezo vyao vilikuwa vya nje na vya ndani na family background
 
Umeoa?
 
Hii inaumiza sana.
 
Acha kulazimisha ndoa taasisi iliyo faili.

Waambie vijana waishi pamoja na watunze familia.

Taasisi ya ndoa wanawake wanaitumia vibaya.

Kijana usifunge ndoa, ila oa na tunza familia.
 
Vijana achananeni na hizi mambo za kwenda kufungwa pingu za maisha na mtoto wa mtu , vuta kaa nae miaka ata 40 mambo ya kudanganywa mnazini kama hamna ndoa ya kisheria yamepitwa na wakati .

Chukua nenda kwao jitambulishe kama ni bede la mbege wape , waambie mtoto wenu yupo kwangu kwisha ,mambo ya pingu za maisha na maveti yatafute kma una nia ya kugombea uraisi, ukiwa na pesa yanapatikana ata kwa kufoji.
 
Acha kulazimisha ndoa taasisi iliyo faili.

Waambie vijana waishi pamoja na watunze familia.

Taasisi ya ndoa wanawake wanaitumia vibaya.

Kijana usifunge ndoa, ila oa na tunza familia.

Ndoa ni mume na mke wanaoishi pamoja.
Hiyo dhana na maana uliyonayo akilini haipo kwangu
 
You nailed it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…