Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Usithubutu kufanya huo ujingaWapo wanawake waliokuwa Malaya, lakini walipoolewa walitulia kabisa katika ndoa zao!
Golden Rule:
Never make a hoe a house wife
Malaya ni malaya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usithubutu kufanya huo ujingaWapo wanawake waliokuwa Malaya, lakini walipoolewa walitulia kabisa katika ndoa zao!
Mkuu siyo kweli kabisa! Wapo wanawake waliokuwa Malaya, lakini walipoolewa walitulia kabisa katika ndoa zao!
Wengine wanakuwa malaya kutokana na shida na umasikini si kwamba walitaka!
Tujaribu kubadili mind set zetu kuhusiana na wanawake!
UPO sahihi Ila wanawake wamebadilika Sana ndoa imekuwa Kama Bahati kuipata.
Miaka hii hakuna wanawake wema mzee wengi wamekaa kimalaya malayaNa kwanini uchague Mwanamke aliyekuwa analiwa liwa hovyo?
Usitake kuniambia hakuna wanawake wema. Huko ni kukufuru.
Ni sawa na wanawake wanaosema hakuna wanaume wanasiochepuka
Usithubutu kufanya huo ujinga
Golden Rule:
Never make a hoe a house wife
Malaya ni malaya tu
Miaka hii hakuna wanawake wema mzee wengi wamekaa kimalaya malaya
Umeoa?Ninavyojua Wanawake ni walewale tangu miaka hiyo.
Hakuna tofauti kati ya Mwanamke wa enzi za Yesu na wa sasa. Ni walewale tuu.
Wapo malaya na wapo ambao sio Malaya.
Sio ajabu hata kina Ibrahim wakati wanachumbia au kutafutia vijana wao Wake walikuwa na sehemu maalum za kwenda kuchagua hao wake. Na vigezo vyao vilikuwa vya nje na vya ndani na family background
Umeoa?
La punguza ukali wa manenoVijana waliozaliwa Nje ya Ndoa(Panya Road) wanapinga Ndoa kwani hawajui matunda yake.
Umepata mke mwema?Ndio
Mkuu hata kama hukuw ana neema ya kuishi kwenye Ndoa au kuzaliwa kwenye ndoa unawezaje kuipinga ndoa kiasi cha kupata ujasiri wa Kuhamasisha kuwa Ndoa ni mbaya?La punguza ukali wa maneno
Umepata mke mwema?
Umejibu kisiasa sana mtibeliAsingekuwa mke wangu kama sivyo
Hii inaumiza sana.Unaoa mwanamke ambaye ameshatumika, kuna watu wamemla bure miaka na miaka. Kwa kifupi ni malaya
Ulivyo mjinga unafanya na sherehe kabisa ya harusi ukumbini ukila, kunywa, ukicheza na kumtambulisha malaya kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki uliowaalika ukumbini
Ulivyo mjinga kabla ya kuteketeza mamilioni ukumbini ulimlipia mahari kubwa na wazazi wake wakakukabidhi malaya? Kweli hii ni akili au matope?
Kabla ya harusi unamnunulia malaya wedding gown, viatu na gharama ya salon apendeze siku ya harusi. Wewe ni mwanamume mjinga
Unapanga mipango ya harusi na kuwachangisha wadau ili uoe mwanamke ambaye bado kuna watu wanamla free kabla ya ndoa na baada ya ndoa wataendelea kummega kisela
Kuna ile mibwege siku ya engagement inawavalisha pete wanawake used na kama haitoshi wanampigia magoti malaya na kusema "please with this ring my love I'm giving you my heart." Kweli malaya wa kumpigia magoti?
Kama umemkuta ameshatumika kwa nini upoteze mamilioni kwa ajili yake? Hebu wanaume tushtuke
Iko hivi nyie mliooa kwa gharama huyo mwanamke ulijisumbua na kupoteza pesa zako bure
Huyo mkeo ni malaya she's cheap ndio maana amelala na wanaume wengine bure au kwa gharama ndogo kabla yako na wahuni hawakutoa hayo mamilioni, tena wamemmega kwenye nyumba za wageni za kawaida sana
Wewe kwa ujinga na kiherehere chako eti umeenda kulipia honeymoon kwenye hotel kubwa. Una akili kweli?
If she slept with other men for free should be offered for free
Hakika mkuuHii inaumiza sana.
😃😃Umejibu kisiasa sana mtibeli
Swali la pili, ulikuta kashatumika?
Acha kulazimisha ndoa taasisi iliyo faili.NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe watoto bora wenye malezi ya Baba na Mama. Basi kwako Ndoa sio lazima.
Ndoa sio ishu ya Sex pekee. Sex unaweza pata popote. Sex unaweza hata kulala na mnyama, au kununua midoli, kujichua au hata kununua Kahaba. Hizo zote ni Sex.
Lengo la Ndoa sio sex au ngono kama Watu wengi wenye upeo Mdogo wanavyofikiri. Ndio maana kwa wale ambao wapo ndoani watakubaliana na mimi kuwa tendo la ndoa linachukua asilimia 10% tuu ya maisha ya ndoa. Ingawaje ni moja ya nguzo muhimu katika ndoa.
Huwezi sema unakataa ndoa alafu muda huohuo unawatoto. Labda uwe mwehu. Mtoto anahitaji malezi ya Baba na Mama tena wanaoishi pamoja.
Baba pekee hana uwezo wa kumpa mtoto malezi Bora. Wala Mama pekee hana huo uwezo wa kumpa mtoto malezi Bora. Ila wote wawili nusu kwa nusu wanachangia malezi bora kwa watoto wao.
Mtoto kimwili anachukua vinasaba nusu kwa nusu kutoka kwa Baba na Mama.
Vivyohivyo kwenye ishu ya hisia, akili, na mambo ya kiroho.
Mtoto kukua pasipo malezi ya Wanandoa inampa nafasi kubwa ya kuwa kizazi cha mbwa au nyoka. Yaani anakuwa kama Mnyama fulani hivi.
Mtoto bila malezi ya Baba na Mama ni sawa na wananchi bila serikali. Yaani hapo muda wote ni fujo, uhalifu, vurugu, uasi, uovu, usalama unakuwa hafifu.
Ndoa, Baba na Mama ni serikali kwa ngazi ya familia. Sasa mtu anayekuambia Ndoa sio lazima alafu anataka watoto ujue kuna nati ya kichwa haijakaa vizuri.
Wewe kama Baba au Mama ambaye ni mtawala katika serikali yako ya familia ni wajibu wenu kuhangaika kujenga serikali yenu. Sio changamoto Kidogo unakimbia, unaacha familia bila utawala. Unategemea nini.
Hata Serikali inapopata changamoto inapambana nazo. Wakitokea waasi au vurugu unatafuta namna ya kuzima.
Sasa mwanamke au mwanaume umechagua mwenyewe, hakuna aliyekulazimisha kuoa au kuolewa. Hakuna aliyekulazimisha kuanzia familia na kuingia ndoani.
Umepata watoto badala upambane kujenga familia na kizazi bora unaleta mambo ya kitoto.
Kama mkeo au mumeo anakusumbua, itabidi upambane hivyohivyo kuweka mambo sawa mpaka watoto wakue, wawe Watu wazima ndio uvunje hiyo serikali yako.
Ni kweli umalaya, ubinafsi unaumiza sana ndani ya familia. Lakini ukishakuwa na watoto, elewa watoto ni muhimu kuliko hayo mambo yenu ya umalaya na ubinafsi.
Mnaweza kuendelea kuishi mkiwa mmetengana kwa maslahi ya watoto. Mkisubiri wakue angalau umri wa kujitambua yaani Watu wazima.
Miaka 20 sio mingi kihivyo.
Maelezo haya ni kwa wale waliokosa bahati na kujikuta wamekosea kuoa au kuolewa na Watu wasio sahihi.
Sio unazalisha au kuzalishwa kama Mbwa. Yaani kila mtu na Baba au Mama yake. Hiyo haijakaa sawa.
Ikiwa imetokea huna namna nyingine na mmetengana iwe kwa Kifo, au kutalakiana. Ni vizuri uoe au kuolewa ili watoto wawe ndani ya ndoa. Au kumpeleka mtoto kwenye familia ambayo iko na ndoa imara.
Iwe ni Bibi na Babu., Kakaako ambaye ameoa, yaani wanandoa.
Ínashauriwa, hata siku ukiona unataka kufa au unaona hauna uwezekano wa kutoboa kiafya, watoto wako ni muhimu kuwakabidhi kwa ndugu yako au rafiki yako ambaye unajua kabisa ndoa yake iko imara. Maadili na malezi kwa mtoto ni muhimu kuliko maisha mazuri.
Acha Nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Acha kulazimisha ndoa taasisi iliyo faili.
Waambie vijana waishi pamoja na watunze familia.
Taasisi ya ndoa wanawake wanaitumia vibaya.
Kijana usifunge ndoa, ila oa na tunza familia.
You nailed it!NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA.