Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

Serikali haina pa kuingilia, ndoa ni hiari ya watu wawili.. nenda ustawi wa jamii au temeke .... Haina msaada wowote kwenye kutatua migogoro ya ndoa . Nilipelekwa ustawi wa jamii yaani Bure kabisaaa..😟😟
Kama dini haina nafasi ktk jamii hayo ndio matokeo yake, turejee kwenye dini, waislamu tukiifata dini yetu haya mambo itakuwa historia, na hata wakristo pia wakiifata mafundisho yao haya mambo yatakwisha,
NOTE; islam (usiikaribie zinaa) , christians (usizini)
 
Ukweli dini siku hizi zimekuwa za kimichongo sana, mie ndoa yangu source ya kuvunjika ni pastor mwanawane πŸ₯ΉπŸ₯Ή.. kama Pastor anakuwa sababu ya kuvunja ndoa unategemea nini.. kesi Hadi inafika mahakamani hakuna ndoa hapo, maana mahakamani haziwezi lazimsha kitu
 
Dini zenyewe watu wanazifuata kinafiki ili aonekane ni mfia dini kumbe ni mbaya kuliko asiyefata dini. Kuna watu hawajashika dini lakini wana maadili kuliko.
 
Huyo pastor mkuu hana elimu ya dini yake ndio maana anatoa maamuzi tofauti na maandiko ya bibilia, tufate misingi sahihi ya dini
 
Soma vizuri nilichokiandika. Unajua ndoa ni nini? Ndoa ni ule mkataba unaosaini kuyafanya mahusiano yenu kutambukika kisheria.

Kwa kiasi kikubwa ule mkataba umemtafsiri mke kama mama wa nyimbani na mwanaume ndie mtafutaji.

Endapo mwanamke asipotimiza majukumu yake kama mama wa nyumbani hashurutishwi na sheria lakini kama mwanaume asipotimiza wajibu wake wa kuhudumia mke basi sheria itamshurutisha.

Mkeo asipokupikia chakula ukienda ustawi wa jamii watakwambia mkiongee nyumbani lakini wewe usipomuhudumia mkeo akienda ustaei wa jamii kesi inapelekwa mahakamani na utashurutishwa kutoa huduma.

Mkitalakiana mwanamke anapewa fidia ya majukumu aliyoyafanya kipindi cha ndoa lakini mwanaume hapati fidia ya huduma alizompa mke
 
Oooh; imedumu miaka mingapi mwamba?
 

Pole sana kwisha
 
Ngoja nilie tena,huu ni ukweli mchungu,niliujua baada ya kuingia ndoani,Ilinichukua muda kufanya deep thinking, na kuona jinsi nitakavyoweza kuishi bila ku data! Na, kupiga mtoto wa mtu,
Nikasoma sehemu, ili Uwe huru, usitegemee chochote kutoka kwa yoyote,msaada, heshima, nk, just "get urself out of equation"
Ninyimwe, nope we, kwangu poa tu, maana niliona hawa viumbe huwezi lazimisha, ama utimue, haraka, upige, au uvumilie,
 
Aisee wenye mpango wa muachana na waume zao mnitonye basi. Single boy nipo hapa nasaka mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…