Crucified
JF-Expert Member
- Aug 9, 2024
- 327
- 327
Mzee inakuaje...unasikia Mambo ya ndoa hayo...Swala la ndoa serikali iingilie kati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee inakuaje...unasikia Mambo ya ndoa hayo...Swala la ndoa serikali iingilie kati.
Mzee utaoa lini[emoji3][emoji3][emoji3]Bado.. kuna jitu linasoma huu UZI hapa.. weekend hapo linaenda KUOA.
[emoji23].. KENGE huwa hasikii mpk damu zitoke maskioni..
Sehemu gani kwenye maandiko pameandikwa kwamba "mwanamke ni kiumbe DHAIFU"? I wish na mimi nipasome hapoUkioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
Nimeshindwa kuaccess hiyo video ndo maana nikauliza.Pitia hiyo video utapata maelezo zaidi
Wewe bwana umejichanganya kuoa kambale unataka kila mtu aone ndoa mbaya! Pambana na hali yako wengine tunakula maisha na ndoa zetu miaka na miaka hakuna shidaUkioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
🤣🤣🤣KATAA NDOA WANAONDOKA NA POINT ZOTE TATU NA CLEAN SHIT.
Sio kweli.Kama sio watoto,hakuna mwanaume angependa kuendelea kwenye ndoa
Sio kweli.Dhumuni la ndoa ni kulinda masilahi ya mwanamke ndio maana mwanaume anashurutishwa kutimiza wajibu wake lakini kwa mwanamke kutimiza wajibu wake ni hiyali yake.
Unapooa maana yake umefanya risk ya kukabidhi maisha yako mikononi mwa mwanamke
Daa!! Pole sana bro, inaonekana ulioa very evil woman.Let's agree to disagree, keep aging and keep in touch bro, nimekuwa hapo, neamini sana hasa na kuheshimu, Imani, maombi na wokovu, niliyokutana nayo siwezi sahau, naamini wokovu, siamini obidience ya watu kwenye misingi ya wokovu!
I will never trust any Woman life time! I believe in forgiveness as a Biblical truth, But I trust God only for protection, never any Woman under the Sun!
Nina kijana wangu wakiume, siku anaoa sita attend, nitatuma mtu aende on behalf, I will never ever believe kwenye commitment to a Woman, life time, I don't even want my worse enermy to go through the experience have had with Women.
Sio usalitiUkiskia wanawake nao wanavolalamikia tabia za waume zao mwisho wa siku hujui u judge vp. Tuvuniliane tu
Akili zao hizi.
Ndoa inaweza kubadilika anytime na ukashangaa. Kuna watu wameishi 30 years kwenye ndoa na wamekuja kuachanaWewe bwana umejichanganya kuoa kambale unataka kila mtu aone ndoa mbaya! Pambana na hali yako wengine tunakula maisha na ndoa zetu miaka na miaka hakuna shida
Kaka yangu wa pili alioa bikra ,lakini alichofanywa hatakaa asahau.Tumeshasema sana ukikuta mwanamke sio bikra ujue ni malaya. Kama utaamua kumuoa muoe at your own risk
Ndoa haibadilishi tabia ya mwanamke malaya eti atulie never. Malaya ni malaya
Learn or perish