Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

Kuna Mwamba anaitwa fact only juzi tu kaleta uzi wake analalamika kuhusu Haya Haya maswala ma bwana ndoa tamu wakamkanda sana ona sasa
Daaaa pole mkuu jikaze kiume!
🤔🤔
 
Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.

Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.

Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.

Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.

Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.

Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
Pole sana kwa yaliyokukuta, tulio single tuendelee kujifukiza
 
Point makini ,baadhi wajinga yakiwashinda wanapotosha vijana eti Pesa


HAKIKA Mkuu Vijana wa kiume wengi wanaangamia kwa dhana kwamba 👉 KUISHI na Mwanamke kunahitaji Pesa hi FIKIRA ni HATARI sana

Ukiwa na Akili na maarifa mwanamke atakuheshimu Sana na kukudhamini lakini ukijifanya we unavijicent AISE atakuigizia kuwa anakupenda lakini maigizo huwa yanamwisho wake utakuja kujua rangi yake halisi na kujuta

Kamwe usimvute MWANAMKE kwako wa vitu like Pesa na mali utajuta B'se mwanamke atakuweka upande wa wewe kuwa faida kwake kumbe kiuhalisia MWANAMKE ndiye faida kwa MWANAUME
 
Ups na downs za ndoa ni lazima wala sio hiari, the fact kwamba maisha tu(ukiitoa ndoa kwenye equation) yana ups na downs nyingi, basi tukubaliane kuwa ndoa kama yalivyo maisha mengine hayakosi changamoto zake.

I figure out nawezaje kuishi single, naona kabisa siwezi. Kwangu hig turn off ni kupangiwa namna ya kupewa utamu, sitaki na napinga kabisa huo utaratibu.

The rest yanazungumzika tu na wala hayana muongozo kivile.
 
Back
Top Bottom