Break Time
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 283
- 500
Unasema nina kunukuu “hata mke wangu(mke wako wewe) ni mwema sana mbele zawatu na nikizungumza ujinga wake Hakuna atakayeamini!”And your experience is based on What? Very stupid comment, hata mke wangu ni mwema sana mbele zawatu na nikizungumza ujinga wake Hakuna atakayeamini!
Kama mimi na wewe tutafikia conclusion kwamba mke ni Msaliti, huo uzuri wa wanawake wewe unautoa wapi?
Uzoefu wangu na hitimisho langu ni kwamba kama mke wako ni msaliti si kweli kwamba wanawake wote katika jamii zetu ni wasaliti
Bado kuna wanawake kibao waliolelewa vyema na ni wanawake bora sana na sio wasaliti kama unavyotaka (ku generalize bila kutoa takwimu za huo utafiti wako) usiwachanganye wanawake bora na hilo SALIA ambalo bado unaliita mke wako (SALIA lako).
it behooveth thee to comprehend the import of mine words by virtue of thy sagacity, not folly. Pole sana kwa sababu inaonyesha unapitia changamoto ile ile!