Kama uliyoandika hapa unakutana nayo nakupa pole sana ndugu yangu, lakini katika jamii zetu bado kuna wanawake wema na bora sana wanaofanya taasisi ya ndoa kuendelea kuonekana ni taasisi mhimu na bora wakati wote.
Hivyo basi sio vyema sana tuka generalize kwa kusema wanawake wote ni wabaya au ndoa ni mbaya kwasababu kupitia ndoa baadhi wameponywa ki roho, ki fikra, mtindo wa maisha n.k n.k
Hivyo basi, ukigundua umeoa Mwanamke asiekupa amani ya akili na moyo na wakati huo huo hilo jambo analitekeleza sehemu nyingine basi tambua huyo hakua fungu lako bali ni fungu la huyo anaemskiliza na kumtii huko nje.
Hata ivyo mtu mmoja alisema, nanukuu!
“All women are devils. Only your mother mighty be good to you, But she is still a devil to your father,,
Japo sina hakika na usemi wake maana maneno yake sio sheria.
Anyways, umesema maandiko yameelekeza kuishi nao kwa akili, basi na iwe hivyo!rqmq