Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili
Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili

Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭

Vitabu vinasema wanadamu wote ni dhaifu, ila Mwanamke ana upungufu wa ajili. Hili ndio unalotakiwa kulichukua.
 
Can you imagine mali utowe wewe
Mpambanaji na wariziki awe wewe
Alafu atokee boya fulani from no where tu awe anajipigia na wakati mwingine Lina mpaka mkeo sheria kama yeye ndo mume vile na uku mkeo anakuwa anakudharau na kumsikiliza mtu mwingine ambaye hapambanii maisha yake
Hiyo sio shida na raha Tena hiyo ni shida tu na kuzikana kabla ya kufa
Kama una ushahidi kwanini usichukue hatua??
Hii kulia lia na kulaani wanawake haikusaidii kitu.

Mwenzio ashakua hatua kwa kumuheshimu kidume mwingine, wewe kama huchukui hatua unaishia kulia na kulalamika basi hapo tatizo ni wewe sio yeye.

Si ajabu yeye anasubiri wewe umwambia sasa kwisha, ila bahati mbaya wewe unalialia tu. Basi anakua hana jinsi zaidi ya kuendelea kukuchora.
 
Ndoa ni ngumu sana hasa ukipata mwenza akili kisoda aiseee kila rangi utaijua.kuna jamaa alisema humu jf wanawake wengi ni vichaa ila ukichaa wake huwezi ujua mpaka ukae nae.
Wanaume tunapigika kimawazo mpaka tunakufa na sehem ya kwenda kutoa hasira na majuto huna unabaki kuungua ndani kwa ndani mamaaee ndoa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.

Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.

Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.

Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.

Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.

Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
Wajinga pekee ndio watakubaliana na wewe.
Hebu waeleze historia ya wazazi wako ili wajifunze kwao. Je walikuzaa uchochoroni kwa bahati mbaya au walikuwa na ndoa?
 
Na hata ikitokea bado haiondoi ukweli kwamba kwenye jamii zetu bado kuna wanawake bora na kwamba bado kuna ndoa imara na bora zaidi zisizopitia hizo changamoto.

And your experience is based on What? Very stupid comment, hata mke wangu ni mwema sana mbele zawatu na nikizungumza ujinga wake Hakuna atakayeamini!

Kama mimi na wewe tutafikia conclusion kwamba mke ni Msaliti, huo uzuri wa wanawake wewe unautoa wapi?
 
Nilikua na mwanamke wa udogo wangu mpaka namuoa, Kuna mwaka nilisafiri, niliporudi siku nasex nae akaniambia" ila nawe huko chini kikubwa" ...nikajua oooh,ashaona zingine huyu.
Kuna mapimbi huamini kuoa Ke Bikra ni suluhisho la kutosalitwa milele katika ndoa, ongea pole pole wasikusikie 🤭

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
We na mwenzio kesi yenu ni tofauti.

Kwangu mimi ni sawa tu kama mtu ndoa si jambo lake. Ila sio kuoa na kuolewa na kuendekeza ujinga ujinga. Watu hawachoki kutomb*? Yaani mtu mzima kutwa unachunguliwa na watu tofauti tofauti.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuelewa baadhi ya mambo.
Isitoshe hata sasa kuna Wahuni wanajipimia tu oili kiulaaaini na Kwa Mumeo unamkazia fuvu, ila sababu ni motivation speaker na keyboard warrior kwa fake ID ni vigumu kujulikana hapa JF.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Isitoshe hata sasa kuna Wahuni wanajipimia tu oili kiulaaaini na Kwa Mumeo unamkazia fuvu, ila sababu ni motivation speaker na keyboard warrior kwa fake ID ni vigumu kujulikana hapa JF.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Una kitu personal na mimi? This is second time nimenotice.

Ningesema na mimi nafanya umalaya ungeridhika? Haya nafanya karibu…..
 
Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.

Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.

Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.

Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.

Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.

Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
Ushaya tyevenga tayari karibu ktk chama cha kataa ndoa ni utapeli 😂😂
 
Hao vibungo mnawaokotaga wapi??
Ndio shida ya kuoa kwa kutazama trako mnasahau tabia…Na hapo kinachokuuma ile “Imechomoka halafu anairudishia” 😹😹😹

Mpe talaka uje unioe nikuonjeshe pepo ya dunia 😜
 
Una kitu personal na mimi? This is second time nimenotice.

Ningesema na mimi nafanya umalaya ungeridhika? Haya nafanya karibu…..
Nilikuwa najaribu kupata attention yako kisaikolojia kumbe ni kweli kabisa 75% Ke huwa ni viumbe vinavyojijengeaga vinyongo rohoni bila hata sababu za misingi, nilishatoka huko kitambo sana, just relax na enjoy your life moment Mpendwa maana huwezijua huenda ni classmates wangu, tunaishi kitaa kimoja au tunafanya kazi pamoja 😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom