Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Limeshakuwa janga la taifa😂Swala la ndoa serikali iingilie kati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limeshakuwa janga la taifa😂Swala la ndoa serikali iingilie kati.
Pia namna au style kinavyohondomorwa kisusio na muhuni tu "Good Guy" si "Nice Guy" akisifia na akipiga piga mawowowo kwa maneno ya dhihaka "mtukane Mumeo, Ke naye kwa mihemuko ya kimahaba anamtukana "Lile ngosha lishamba sana halijui kumkuna kiufundi na kiba100 chake kama Mchepuko wake" 😁Hao vibungo mnawaokotaga wapi??
Ndio shida ya kuoa kwa kutazama trako mnasahau tabia…Na hapo kinachokuuma ile “Imechomoka halafu anairudishia” 😹😹😹
Mpe talaka uje unioe nikuonjeshe pepo ya dunia 😜
Unalia nini sasa mwanaumee eeeh??Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
Inahitaji very sound mind kufikiri hivi.hii nzuri
sijawahi kufikiria hivi
Hiyo tabia uliyonisingizia nayo si nzuri na wala siwezi kuifurahia, nina tabia zangu mbaya ambazo ukiniadress nazo nitafurahia.Nilikuwa najaribu kupata attention yako kisaikolojia kumbe ni kweli kabisa 75% Ke huwa ni viumbe vinavyojijengeaga vinyongo rohoni bila hata sababu za misingi, nilishatoka huko kitambo sana, just relax na enjoy your life moment Mpendwa maana huwezijua huenda ni classmates wangu, tunaishi kitaa kimoja au tunafanya kazi pamoja 😅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Naomba unisamehe maana sikuwa na dhamira jinsi unayonidhania, hata hivyo nashukuru umestaarabika maana kitendo cha kuninukuu na kunijibu tayari kinaonesha jinsi gani ulivyo.Hiyo tabia uliyonisingizia nayo si nzuri na wala siwezi kuifurahia, nina tabia zangu mbaya ambazo ukiniadress nazo nitafurahia.
Kama hiyo ya kinyongo ni tabia yangu kabisa. 😀
Wasaalamu classmate, workmate, tribemate, streetmate.
Mwanangu usiwe nice man kwa mwanamke utalizwa Sanaa..Can you imagine mali utowe wewe
Mpambanaji na wariziki awe wewe
Alafu atokee boya fulani from no where tu awe anajipigia na wakati mwingine Lina mpaka mkeo sheria kama yeye ndo mume vile na uku mkeo anakuwa anakudharau na kumsikiliza mtu mwingine ambaye hapambanii maisha yake
Hiyo sio shida na raha Tena hiyo ni shida tu na kuzikana kabla ya kufa
Mate watu wa humu ni wagomvi! 😂😹😹 kumekucha mate
Punguza kelele, kabla hujaingia huko jitafakari mienendo yako, lakini pia mtafakari mtu wakoUkioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
🤣🤣🤣 Yaani hata km haupo ukiingia unakuta wamekuchokozaMate watu wa humu ni wagomvi! 😂
Ndoa ni ngumu ukioa pagumu...Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
Unaitwa kabisa uje kuchokozwa!🤣🤣🤣 Yaani hata km haupo ukiingia unakuta wamekuchokoza
Heri wenye hekima mseme, mzizi wa tatizo tunaukwepa sana!Ndoa ni ngumu ukioa pagumu...
Unanimanipulate baada ya kunibagaza huko juu.Naomba unisamehe maana sikuwa na dhamira jinsi unayonidhania, hata hivyo nashukuru umestaarabika maana kitendo cha kuninukuu na kunijibu tayari kinaonesha jinsi gani ulivyo.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
UuNdoa ni ngumu sana hasa ukipata mwenza akili kisoda aiseee kila rangi utaijua.kuna jamaa alisema humu jf wanawake wengi ni vichaa ila ukichaa wake huwezi ujua mpaka ukae nae.
Wanaume tunapigika kimawazo mpaka tunakufa na sehem ya kwenda kutoa hasira na majuto huna unabaki kuungua ndani kwa ndani mamaaee ndoa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 watu wamekuwa na ubinafsi sana, kwani ikichomoka afu mkeo/demu wako akairudishia kuna shida gan? Haya mambo mnayakuza sana kwenye akili zenu ndo maana yanawatesaHao vibungo mnawaokotaga wapi??
Ndio shida ya kuoa kwa kutazama trako mnasahau tabia…Na hapo kinachokuuma ile “Imechomoka halafu anairudishia” 😹😹😹
Mpe talaka uje unioe nikuonjeshe pepo ya dunia 😜