EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Chalqmila alisema watu wanywe bia mimi nasema watu wapige punyeto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I understand your reservations and concerns, and I appreciate your honesty in sharing your feelings. It's important to remember that every individual is unique and should not be judged based on the actions of others.
While it's natural to feel guarded after past experiences, it's also important to remain open to the possibility of positive relationships in the future. Trust is something that can be rebuilt over time with the right person.
I encourage you to continue following Biblical principles of forgiveness and to keep an open heart towards building healthy and trusting connections.
Remember, while it's wise to be cautious, it's also essential to approach each new relationship with an open mind and a willingness to give others a chance to prove themselves.
uttoh2002 wewe ni ndugu yangu, tuko pamoja!
Hakika na sawa na kusema hawajui wanachotaka!Shukrani Kaka! Hawa viumbe? They are always looking for what is missing! It is very difficult to be a Man, haswa ukiwa mwaminifu, mtulivu na unayejali, lakini ukiwa player na muhuni mambo sio magumu!
DUuU waswahili Wana mamboMwanamke kitunguu unapokikata vaa miwani,...laaah sivyo?
Asante kwa ushauri....kwa sie ambao tulikuwa back benchers naona akili za kuishi na mwanamke sina. Wacha nibakie singleUkioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
😂😂😂ila Lamomy Hii Dunia ndogo jamani ww ndo wakutoa Pepo ya Dunia kwa ndugu yetuHao vibungo mnawaokotaga wapi??
Ndio shida ya kuoa kwa kutazama trako mnasahau tabia…Na hapo kinachokuuma ile “Imechomoka halafu anairudishia” 😹😹😹
Mpe talaka uje unioe nikuonjeshe pepo ya dunia 😜
Point makini ,baadhi wajinga yakiwashinda wanapotosha vijana eti PesaWe mwenyewe umechukua katika kitabu kitakatifu cha MUNGU kwamba amesema Tuishi nao kwa AKILI
harafu Mwisho umeshauri vijana watafute Pesa, ina maana kuishi na Mwanamke kwa mantiki yako kunahitaji Pesa na Sio Akili 🙆🏻♂️
MKUU Kama una WAZO NDANI yako kwamba kuishi na MKE kunahitaji Pesa unajidanganya, utakuwa na hizo Pesa na bado mwanamke atakushinda tu 👉wangapi wanapesa na WANAWAKE wamewashinda
👉 MUNGU aliumuumba MKE kwa MWANAUME mwenye akili na Sio mwenye Pesa
Kama analiwa nje achana nayeye mkuu. Usije kufa mapemaUkioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
🥱🤭🤭Nataka mtu Kama wewe unayeamini mke wako this much, Nipe fursa kwa gharama zangu tushirikiane mchunguza, utakuta analiwa tu
Uko x Huko✓Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
Na kama ndio sini yetu ukiingia wewee utajuta lakn ukiizoea unaenda nayooooUkioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie 😭😭😭😭
Ukioa ndo utajua kuwa kuoa sio kuzuri.
Pia ukiwa single utaona kuoa Kuna faida ila maisha ya ndoa ni magumu saana asikudanganye mtu ukipata bahati ya kuwa single usichezee.
Mungu sio mjinga wakusema tuishi na wanawake kwa akili. Wenzetu hawa ni watu hatari saana anaweza kukunyima unyumba lakini uko nje Kuna mtu anampa kwa wakati wowote tu anao utaka akifika kwako kama mume wake sababu zinakuwa nyingi.
Kuna wakati anaweza kuwa hakusikilizi kabisa wewe kama mume wake lakini Kuna boya fulani uko nje anamsikiliza vizuri kabisa na wakati mwingine linampa masharti kama mume wake.
Mwanamke sio kiumbe dhaifu kama tunavyoambia na vitabu vyetu vya dini anaweza kuwa dhaifu kwenye mambo mengine lakini sio kwenye akili.
Tutafute pesa vijana wenzangu
Tayari kwangu mimi nimejiona acha nilie
Kuna kitabu kimoja ameandika jamaa mmoja mkenya anaitwa Silas Nyanchwani.Swala la ndoa serikali iingilie kati.
Ndio maana nawashauri watu wajipende wenyewe kwanza. Ukijipenda hutaruhusu kiumbe chochote kukupa stress za kijinga. Tunaishi mara moja, ni lazima kulinda afya ya mwili na akili.Mwanangu usiwe nice man kwa mwanamke utalizwa Sanaa..
Mwanangu Linda Sana afya yako ya akili mwanamke utaachana nae lakini wewe ukiwa mgonjwa wa akili Mambo yako yatafeli..
Fanya ufanyalo kuwa na backup na ikiwezekana ajue kuwa nawe una mtu...