Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

kumbuka ndoa haijapangwa iwe rahisi
 
I won't give in till i die
 
Kwanza Mungu hajasema "tuishi nao kwa akili" kwa tafsiri unayotaka kusema.

Pili mwanamke hafanyi ngono kwa kuongozwa na tamaa kama tunavyofanya sisi.. (labda awe mdangaji) mwanamke anafanya mapenzi..
Kama una mke na akatoka nje ya ndoa, jua alishahamisha moyo wake kwako muda mrefu na mwili ndio unamfuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…