Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia.
 
Mkiambiwa muandamane hamtaki 😄😄
 
Shida sio mwanamke mkuu!
Bali wewe unataka yeye awe kama wewe kwakila kitu haswa fikra..
Kosa linaanzia hapo.
Uliweka matarajio kwakiumbe tofauti nawewe.
Tambua niwewe pekee unae weza kuunga hoja namchangiaji akawa hana tofauti nawewe kwakila kitu.
Vinginevyo kugongana kupo ndoa hainatatizo ila nimuhimu kutambua kwamba unaishi namtu asie kua wewe kwakila kitu.
 
Kama uliyoandika hapa unakutana nayo nakupa pole sana ndugu yangu, lakini katika jamii zetu bado kuna wanawake wema na bora sana wanaofanya taasisi ya ndoa kuendelea kuonekana ni taasisi mhimu na bora wakati wote.

Hivyo basi sio vyema sana tuka generalize kwa kusema wanawake wote ni wabaya au ndoa ni mbaya kwasababu kupitia ndoa baadhi wameponywa ki roho, ki fikra, mtindo wa maisha n.k n.k

Hivyo basi, ukigundua umeoa Mwanamke asiekupa amani ya akili na moyo na wakati huo huo hilo jambo analitekeleza sehemu nyingine basi tambua huyo hakua fungu lako bali ni fungu la huyo anaemskiliza na kumtii huko nje.

Hata ivyo mtu mmoja alisema, nanukuu!

“All women are devils. Only your mother mighty be good to you, But she is still a devil to your father,,

Japo sina hakika na usemi wake maana maneno yake sio sheria.

Anyways, umesema maandiko yameelekeza kuishi nao kwa akili, basi na iwe hivyo!
 
Mzee ukiwa unasimulia hivi wengine watakuona kama mjinga ila haya mambo yakikutokea ndo utajua haujui, mimi mwenzio nimekata tamaa kabisa na ndoa sijui kama ntakuja kuoa kwakweli.
 

Nataka mtu Kama wewe unayeamini mke wako this much, Nipe fursa kwa gharama zangu tushirikiane mchunguza, utakuta analiwa tu
 
Ingawa ndoa ni baraka.. ila zimekuwa na mapicha picha mengi.. sie kina gen Z tuliozaliwa kuanzia 2005.. tukiduma kwenye ndoa mie tatu lazima tufanye anniversary 😅😅😅
Wanawake ndio tunatakiwa kujua kama hatuwezi ndoa tusiolewe, Kuishi na mtu msaliti mchezo nini! Unaweza kuamka ukamnyonga usiku 😂😂😂
 
Nilikua na mwanamke wa udogo wangu mpaka namuoa, Kuna mwaka nilisafiri, niliporudi siku nasex nae akaniambia" ila nawe huko chini kikubwa" ...nikajua oooh,ashaona zingine huyu.
 
We na mwenzio kesi yenu ni tofauti.

Kwangu mimi ni sawa tu kama mtu ndoa si jambo lake. Ila sio kuoa na kuolewa na kuendekeza ujinga ujinga. Watu hawachoki kutomb*? Yaani mtu mzima kutwa unachunguliwa na watu tofauti tofauti.

Mimi nitakuwa wa mwisho kuelewa baadhi ya mambo.
 
Asilimia kubwa kwa miaka ya leo, hatutafuti wenza bali tunatafuta wapinzani na maadui zetu wakuu namba moja

Mke/mume anakuwa ni vita kuu unayopigana nayo kila siku. Huruma sana

Sijui wazee wetu waliweza wapi na sie tunakwama wapi

Ila malezi ya single mother kwa watoto yanaharibu sana saikolojia ya mtoto hasa wa kike kuja kuwa mke bora
 
Kinachofanya iwe ivyo, ni umalaya wa kabla ya ndoa .. kubaki na maku moja au kei moja milele yote sio kazi ndogo.. hasa kama MTU aliezoe kubadirisha utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…