Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Sayansi imeadvance - badili jinsi tu nawe uwe mwanaume.
Huyu anayelalamikia kazi hizo ukifika kwake utakuta ana msichana wa kazi, ukiona anavyomtumikisha na matusi juu - anafikiri anamkomoa kumbe anamjenga awe mke mzuri wa baadae
 
Zungumzia hilo zezeta lako tu usilete habari za stupid men..kwani wewe umeolewa na wanaume wote?
 
Kenge weweee..utasemaje wanaume wote stupid wakati wewe tommy boy hata hujaolewa unadanga na waume za watu na unataka watulie na wewee..fisimaji kabisa..

Kiingereza chenyewe broken tupu sijui umesoma shule gani mbwa wewe..lionee
You another stupid boy
 

Ndio maana hutakaa uolewe. Utadanga hadi umauti utakapokufika.
 
Wawaite michepuko kuja kuwafulia kila weekend
 
Nlimuona bi mkubwa mmoja hiv....naona kawatia nguvu kweny hio rejesta ya kutoa nje na kupeleka ndan
 
Kampeni ya kataa ndoa ilizidiwa na Ile ya kupinga ushogaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…