Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

p2 haziwezi kukusababisha upoteze fertility na kushindwa kuzaa badae kama ulikuwa na uwezo huo! Hivyo hivyo kwa njia za uzazi wa mpango! Usipotoshe jamii!
 

Mafaza gani tena ama Walikuwa wanamroga mkeo ?
 
Mkuu uko sawa!
 
Wanatumia dawa za uzazi tangu sekondari adi chuo unategemea umuone apate mimba faster adi miaka 6 adi 10 ipite
 
1.
1.vijana walioharibika watazaa watoto walioharibika zaidi.

2.kwa hili jopo la watoto wa mitaani na watoto wanaoteseka mitaani ni vizuri wasiongezwe wengine .

3. Acha vijana walio pure wazae naamini watatoa uzao bora baadae
. usitushtue vijNa wa ovyo

4. Hivi kwann serikali isitoe leseni ya uzazi.
Yaani jambo la msingi kama hili ilibidi kuwe na usimamiz mkuu
Siyo kila mpumbav anajifyatulia tu watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…