Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

Kwangu Hali tofauti mnoo,nimegonga Mademu wawili ndani ya mwezi mmja...wote wanamimba! Ad nimeogoba mbegu zangu Kali.
 
Kwa Wanawake nakubali,lkn kwa Wanaume nakataa,age doesn't matter,ndio Maana Vijana wanasema "Ng'ombe hazeeki maini".Leta Source ya andiko lako with Scientific proof from recognized Academic Institution,ambayo inasema Mwanaume anapungua uwezo kadri ya Umri unavyozidi kuongezeka.Tumeshudia Wazee wa miaka Themanini wakizaa watoto na mabinti wadogo na kupata watoto wazuri tu.
Mwanaume ye yote anayesimamisha kama anataka mtoto anione nije nimpe dawa nzuri ya kunywa mara moja tu. Hata mapacha atafyatua hata kama yuko 80 na watoto watakuwa na afya tele bila tatizo lo lote. Nilifundishwa hii dawa na babu yangu aliyekuwa na wake 7 na watoto 38. Mtoto wake wa mwisho alimzaa akiwa na miaka 84!
 
Mchepuko wangu nafikiria kuupiga Chini ila namuonea huruma. Ndoa haikua na amani kwasababu ya kutokuzaa wakaachana. Mimi nikalibeba jukumu la kumfunga paka kengele lakini naona linaenda kunishinda.
Wewe ni Omari Niachiemimi aka macheni?
 
Kuna ndg ana miaka 5 kwenye ndoa anahangaika kupata mtoto, amefikia hatua za kupost watoto wanaotrend mitandaoni ili kujifariji, ni maumivu sana
Mwambie anitafute ASAP!

Atakunywa dawa mara moja tu. Asipopata mapacha mje mniue! Labda kama aliharibu kizazi chake kwenye kutoa mimba za ujanani huko!
 
Wajumbe

Mnaotegemea kuja kuoa wadada walioko

. Vyuoni(hii ni mpaka wale wa datastar)
. Depo
. Maaskari waliomaliza mafunzo wanasubiri kuajiriwa.

Hayo makundi hapo juu upataji wao watoto ni wa mbinde mnooo
 
Mwambie anitafute ASAP!

Atakunywa dawa mara moja tu. Asipopata mapacha mje mniue! Labda kama aliharibu kizazi chake kwenye kutoa mimba za ujanani huko!
P2 na abortion ni janga kwa mabinti wa sàsa hata hizo dawa zinadunda
 
Kwa uchunguzi wangu binafsi nimeona ndoa nyingi sana zinapata changamoto ya kupata mtoto.

Hapa mjini wadada karibu wote wameharibika. Ndiyo maana wengi hata wakibahatika kuolewa kupata mtoto inakuwa tabu sana. Na wengi wao hawazai kabisa.

Wanawake wengi wa mjini Mjini wanatumia vizuia mimba tangu wakiwa wadogo sana matokeo wanavuruga mfumo wa uzazi,vijijini hawajui hayo mambo wanazaa mapema

Wadada wengi ujanani kipindi hawajaolewa p2 wanameza kama panadol..siku wakitaka kushika mimba ni mtafutano mara uvimbe..mara pid..mara hormonal imbalance. uzazi Sasa hivi kwa wanawake ni wa kutafuta kwa tochi.

Vidonge vya uzazi wa mpango vimepoteza Sana kizazi Cha wanawake. Matumizi ya p2 ujanani yanaleta balaa sana mbeleni kwenye ndoa.

Familia nyingi siku hizi zinaishia kuwa na mtoto mmoja. Ambaye anapatikana kwa mbinde sana.

Hapa chini ni somo jepesi la Muda sahihi wa kuzaa

1.WANAWAKE(WOMEN)

Wazungu wanasema Fertility is Ageist..ikimaanisha umri ndo unaweza ukaadhiri Afya Ya mtoto wako kwa Wanawake wanazaliwa na mayai kamili ambayo hupungua kiasi na Quality miaka inavyoenda..Mwanamke anavyozeeka uwezekano wa kupata mimbe unapungua chances za kupata risk mbali mbali kama miscarriage zinaongezeka!!

-Akiwa Miaka 32 uwezo wa Kuzaa unapungua ILA KIDOGO sana.
-Akiwa na Miaka 35 uwezo wa kuzaa unapungua kwa SPIDI ya Juu sana
-Akiwa na Miaka 40 uwezo wa kuzaa unakua umepungua kwa Nusu
-Kuanzia Miaka 20-31 uwezo wa kuzaa unakua asilimia 40% kwa kila mwezi ILA above 40 ni 5% sasa ukizaa Late unaweza kupata risks kama still birth(mtoto kufa esp age ya 35 hapo) kuanzia 40 kwenda Juu its a Miscarriage unapata

2.WANAUME(MEN)
As women,quality Ya sperms Inapingua as a man Ages mpka inafikia Point hawezi kumpa mwanamke mimba kabisa!
-Akiwa na Miaka 40 na zaidi uwezo wa kumpa mwanamke unapungua kutokana na kupungua kwa MOTILITY(kukimbia kwa sperms kufuata Yai) akiwa 45 kwenda Juu mtoto atakaemzaa atakua na matatizo kiafia
-Akiwa 20-40 hapa uwezo wa kuzalisha upo vizuri na anaweza kupata watoto kama wote Bila shida Yoyote kabisa!!!!

HIVYO TUJITAHIDI KUFUNGA NDOA MAPEMA. MWANAMKE CHINI YA MIAKA 25 AOLEWE NA MWANAUME KABLA HUJAVUKA 30 UWE UMESHAOA.

Hii itasaidia kutatua hili tatizo la uzazi kwenye ndoa nyingi za kisasa

View: https://www.youtube.com/watch?v=LBTwULcAd3k
 
Back
Top Bottom