Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 671
- 1,245
Nao
Ni lini hawa viumbe wa kike na wao watakua responsible kwa makosa wanayoyafanya.
Hivi suala la mimba wakulaumiwa ni mwanaume kweli!??
Man mim sitak niseme sana
Mimba si ni matokea ya sweet sex btn 2 people!
Tena hao wakike mara nying mimba ipo mikononi mwao wanaweza kuicontrol na kuiepuka.
Tuache kuwadekeza hawa wasichana we need to put them accoutable to their actions.
Naona mkuu umeamua kuwaangushia jumba bovu madogo wakiume.Vijana wa kiume nanyi ndiyo tatizo. Miaka ya hivi karibuni wanawake wameshika sana mimba pasipo kuolewa. Wamezaa wengi sana na ilionekana kama trend. Wengi wameishia kuwa single mama.
Baadae mnabadilika, hamtaki kuwaoa single mama. On counter, wanawake wanakunywa P2 na dawa nyinginezo ili wasizae watoto kabla ya ndoa.
Matokeo yake, wanaharibu vizazi na kuvuruga mfumo mzima wa vichocheo. Anafika wakati wa kutaka mtoto anaingia gharama kubwa sana kufanikisha.
Mabinti jitunzeni. Ngono fanya kwa kutumia kinga. Au jitahidi kufata kalenda yako.