Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

Nao
Naona mkuu umeamua kuwaangushia jumba bovu madogo wakiume.

Ni lini hawa viumbe wa kike na wao watakua responsible kwa makosa wanayoyafanya.

Hivi suala la mimba wakulaumiwa ni mwanaume kweli!??
Man mim sitak niseme sana

Mimba si ni matokea ya sweet sex btn 2 people!
Tena hao wakike mara nying mimba ipo mikononi mwao wanaweza kuicontrol na kuiepuka.

Tuache kuwadekeza hawa wasichana we need to put them accoutable to their actions.
 
Nina ndugu yangu ameolewa akiwa na 27lakini mwaka wa pili huu anahangaika mtoto,nae kachelewa? Maana pia hospital kaambiwa ana uvimbe sasa sijui itakuaje na mme wake mpare yule kama atavumilia
Mwambie anicheck PM nitamsaidia atapata ujauzito. Wengi nimewasaidia.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Hizi dudu hatuzitumii ipasavyo.....Bali tunazitumia kwa tamaa....na madhara yake ni makubwa....in hardware(kimwili) na software(kiroho)
 
Nina ndugu yangu ameolewa akiwa na 27lakini mwaka wa pili huu anahangaika mtoto,nae kachelewa? Maana pia hospital kaambiwa ana uvimbe sasa sijui itakuaje na mme wake mpare yule kama atavumilia
Wenye Uvimbe inakuwaje mkuu,wametumia njia gani kuuondoa?maana kuna demu nae kacheki kaambiwa ana uvimbe,nawaza niingie mitini,msala huo tayari 🙆
 
Mchepuko wangu nafikiria kuupiga Chini ila namuonea huruma. Ndoa haikua na amani kwasababu ya kutokuzaa wakaachana. Mimi nikalibeba jukumu la kumfunga paka kengele lakini naona linaenda kunishinda.
Nipe huyu hizi ndo fursa sasa
 
mi nikitaka kuoa narudi nyumbani (Mbinga) nasubiri form 4 mwenye kazero kake namchukua kiulaini na kumweka ndani hajawahi tumia Ethinyl Estradiol, Levonorgestrel, Desogestrel, Norethindrone
Unaoa binti aliyepata zero😂😂😂😂
 
Mie nimeshazarisha wamefika watoto sita na Kila mtoto na mama yake ,, hapa mwakani nawakusanya watoto naanza kuishi nao ,natafuta hhomegirl basi
Umepima DNA 🧬 kuthibitisha hao wote ni wako au ukitomba demu akikwambia ana mimba unapokea tu
 
p2 haziwezi kukusababisha upoteze fertility na kushindwa kuzaa badae kama ulikuwa na uwezo huo! Hivyo hivyo kwa njia za uzazi wa mpango! Usipotoshe jamii!
Madhara ya sindano za uzazi wa mpango ni yapi?
 
Sasa ulimeza majira ubintini utegemee mtoto toka wapi.
Hawataki watu wazae watoto wengi ukizidi sana wawili.
 
Wanatoa sana mimba means wanaua sana thus wanawake wengi ni Wana roho ya uuaji sababu ya utoaji mimba thus wachawi wengi ni wanawake.
2 ya 10 tayari walishawahi toa mimba yaani kuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…