Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

Kwangu Hali tofauti mnoo,nimegonga Mademu wawili ndani ya mwezi mmja...wote wanamimba! Ad nimeogoba mbegu zangu Kali.
 
Mwanaume ye yote anayesimamisha kama anataka mtoto anione nije nimpe dawa nzuri ya kunywa mara moja tu. Hata mapacha atafyatua hata kama yuko 80 na watoto watakuwa na afya tele bila tatizo lo lote. Nilifundishwa hii dawa na babu yangu aliyekuwa na wake 7 na watoto 38. Mtoto wake wa mwisho alimzaa akiwa na miaka 84!
 
Mchepuko wangu nafikiria kuupiga Chini ila namuonea huruma. Ndoa haikua na amani kwasababu ya kutokuzaa wakaachana. Mimi nikalibeba jukumu la kumfunga paka kengele lakini naona linaenda kunishinda.
Wewe ni Omari Niachiemimi aka macheni?
 
Kuna ndg ana miaka 5 kwenye ndoa anahangaika kupata mtoto, amefikia hatua za kupost watoto wanaotrend mitandaoni ili kujifariji, ni maumivu sana
Mwambie anitafute ASAP!

Atakunywa dawa mara moja tu. Asipopata mapacha mje mniue! Labda kama aliharibu kizazi chake kwenye kutoa mimba za ujanani huko!
 
Wajumbe

Mnaotegemea kuja kuoa wadada walioko

. Vyuoni(hii ni mpaka wale wa datastar)
. Depo
. Maaskari waliomaliza mafunzo wanasubiri kuajiriwa.

Hayo makundi hapo juu upataji wao watoto ni wa mbinde mnooo
 
Mwambie anitafute ASAP!

Atakunywa dawa mara moja tu. Asipopata mapacha mje mniue! Labda kama aliharibu kizazi chake kwenye kutoa mimba za ujanani huko!
P2 na abortion ni janga kwa mabinti wa sΓ sa hata hizo dawa zinadunda
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=LBTwULcAd3k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…