Ndoa VS Usioe grand finale!

Ndoa VS Usioe grand finale!

Ukiweza kuishi kwa mama na baba hadi uzee usioe,Babako na mamako wasizeeke au wasife usioe,
 
Hii kanda Kuna tatizo gani? Wamama ndo wanamiliki Mali sana
Screenshot_20230215-180015.png
 
Angalia sana na unayetaka kufunga nae ndoa usipokuwa makini lazima utaichukia hiyo ndoa hadwiim
 
Movement za kataa ndoa zinavyo anza kama zile za 50/50 na haki sawa. Ndio kweli zina changamoto zake ila ndio msingi wa kila kitu kuanzia familia ,jamii mpaka taifa.
 
Mwanamke hawezi muhudumia mwanaume kipesa financial services
Ni kweli japo inawezekana pia mambo yasipokuendea vizuri, mwanamke akasaidia familia pia, ila wewe si ulisema wanawake wanaolewa sababu ya kuhudumiwa tena financially ndiyo nikauliza vipi hao wenye uwezo wanahitaji upendo tu, pesa si sana?
 
Ndoa ni ujinga tu. Umeandika takataka tu bila kujibu hoja za msingi.
 
Wanawake wengi mnapenda ndoa kwasababu ya Mnajua mkiolewa mtapewa pesa Za kula na kuvaa, na waume zenu, na si kwasababu ya heshima/ kupata Life time partner Numbisa
Ume assume wanaume wote wana vipato. Mbona wengine wanalelewa na wake zao? Hakuna formula kuhusu maisha ya ndoa.

Tena unakuta kwenye mahusiano ya kawaida bwana anahonga kweli, akishaoa anaanza kuacha buku nyumbani.
 
Back
Top Bottom