Ndoa VS Usioe grand finale!

Ndoa VS Usioe grand finale!

Ume assume wanaume wote wana vipato. Mbona wengine wanalelewa na wake zao? Hakuna formula kuhusu maisha ya ndoa.

Tena unakuta kwenye mahusiano ya kawaida bwana anahonga kweli, akishaoa anaanza kuacha buku nyumbani.
Yamekukuta nini?
 
Gamophobia inawasumbua vijana wengi sana kwasasa,mkatobiwe kwa watu wa saikologia
 
Habari wana Jf, Hope kwa asilimia wengi tupo poa, Kama haupo poa basi Mungu akufanyie wepesi.

Tuende direct kwenye point, Kwa sasa limeibuka wimbi la watu (wanaume) wengi kuipinga ndoa vikali na kufikia kuonya wanaume wenzao kwamba wasijaribu kwani ni hatari kwa maisha yao.

Upande wa wanawake umeonesha kuchukizwa na aina ya wanaume hao ambao wameonesha kama kushawishi wanaume wengine kuhusu hilo kwani linaonesha dhahiri kwamba linatapelekea wao kukosa haki yao ya kuolewa.

Tukiachana upande wa wanaume kwa wanawake lakini pia kuna upande wa wanaume ambao wao pia wameonesha kuwapinga vikali wanaume wanaoeneza scenario hiyo ya kuhusu ubaya kwenye kuoa (ndoa) na wakidai kwamba ni kuupinga mpango wa Mwenyezi Mungu.

Sasa uzi huu lengo ni kutaka kujua Advantages and Disadvantages of marriage, Kwahiyo wanaopinga ndoa watatoa sababu zao na Wanaounga mkono watatoa sababu zao kisha kila mmoja atapima mzani wake na kuamua akae upande upi.

Karibuni...
 
Wale msiyo na nguvu za kiume,mlio na vibamia, endeleeni kutafuta kichaka cha kuficha madhaifu yenu (Ndoa) ....ili

1 :-mlee na kutunza watoto wasiyo wenu

2 :- Muishi maisha ya stress ya kupangiwa chakula na muda wa kurudi home

3 :- Mfukuzwe siku mtakayo wakasirisha wake zenu mkibisha tukutane ustawi wa jamii utuchangie na sisi tunaombea ndoa yenu ivunjike.

4 :- Ukiua tu jela maisha inakuhusu kwa tamaa za kuitwa mme wa fulani kumbe boda boda wanakucheki kwa dharau 😏😏😏
 
duh! mkuu ndo kumaanisha kwamba ndoa ni majanga hivyo?
 
Back
Top Bottom