Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
- Thread starter
- #81
Yamekukuta nini?Ume assume wanaume wote wana vipato. Mbona wengine wanalelewa na wake zao? Hakuna formula kuhusu maisha ya ndoa.
Tena unakuta kwenye mahusiano ya kawaida bwana anahonga kweli, akishaoa anaanza kuacha buku nyumbani.