Ndoa VS Usioe grand finale!

Ndoa VS Usioe grand finale!

Huu mnyukano walianza wanaweke kuringa wakamwaga mboga, wanaume wakaona isiwe taabu, wanamwaga ugali sasa. Ligi ni kali sana, waasisi wa kampeni ya kataa ndoa wana hoja zenye mashiko
 
Mnaopinga Ndo Tahadharini sana na Wake zetu hatupendi masikhara... Kama unapinga ndoa ujue utajisaidiaje sio kwa wake zetu...!!! Tutawapenda wake zetu na nyinyi pia
 
Huu mnyukano walianza wanaweke kuringa wakamwaga mboga, wanaume wakaona isiwe taabu, wanamwaga ugali sasa. Ligi ni kali sana, waasisi wa kampeni ya kataa ndoa wana hoja zenye mashiko
sema kuna ukweli bhana, Ndoa zinakuwa kama kifungo vile kwa mwanaume kutokana na sheria zake pindi mnapokosa maelewana.
 
Mnaopinga Ndo Tahadharini sana na Wake zetu hatupendi masikhara... Kama unapinga ndoa ujue utajisaidiaje sio kwa wake zetu...!!! Tutawapenda wake zetu na nyinyi pia
Vijana wanasema mtosheleze mkeo sasa🤣🤣
 
Mwanaume kamili hawezi kataa ndoa, kwa vyovyote ni vivulana humu vinapiga kelele au vishoga, ama wasio kuwa hela.
 
Mwanaume kamili hawezi kataa ndoa, kwa vyovyote ni vivulana humu vinapiga kelele au vishoga, ama wasio kuwa hela.
Always mtaendelea ku-stick na hoja hizi hizi za kijinga,, hili battle hamuliwezi, KATAA NDOA, NDOA NI UJAMBAZI BIN UJAMBANOKA, NDOA NI UHAINI.
 
Hii kampeni ya ndoa haijaleta mbadala wa kunyandua. Wanaume wengi huoa ili wapate kunyandua kwa uhuru na wakati wowote wakihitaji, tena bure. Sasa kama huna mke utaenda kunyandua wapi kwa uhuru? Kwingine ni gharama na hakuna muda wa kutosha. Makahaba wako kibiashara zaidi na hawana ofa. Ukienda kwa kahaba unatakiwa ujipange hasa kifedha na kimwili. Unatakiwa mwili wote uwe na nguvu za kwenda raundi zisizopungua mbili kwa dakika 45 au upige goli za haraka sana chini ya dakika 10 usimcheleweshee kahaba na wengine waingie
 
UBAO UNAONESHA WANAOUNGA MKONO NDOA KAMA VILE HAWANA POINTS HIVI AU NAKOSEA?
 
Habari wana Jf, Hope kwa asilimia wengi tupo poa, Kama haupo poa basi Mungu akufanyie wepesi.

Tuende direct kwenye point, Kwa sasa limeibuka wimbi la watu (wanaume) wengi kuipinga ndoa vikali na kufikia kuonya wanaume wenzao kwamba wasijaribu kwani ni hatari kwa maisha yao.

Upande wa wanawake umeonesha kuchukizwa na aina ya wanaume hao ambao wameonesha kama kushawishi wanaume wengine kuhusu hilo kwani linaonesha dhahiri kwamba linatapelekea wao kukosa haki yao ya kuolewa.

Tukiachana upande wa wanaume kwa wanawake lakini pia kuna upande wa wanaume ambao wao pia wameonesha kuwapinga vikali wanaume wanaoeneza scenario hiyo ya kuhusu ubaya kwenye kuoa (ndoa) na wakidai kwamba ni kuupinga mpango wa Mwenyezi Mungu.

Sasa uzi huu lengo ni kutaka kujua Advantages and Disadvantages of marriage, Kwahiyo wanaopinga ndoa watatoa sababu zao na Wanaounga mkono watatoa sababu zao kisha kila mmoja atapima mzani wake na kuamua akae upande upi.

Karibuni...
Wanaume wanaopinga ndoa Dunia imeshawatambua kuwa wanazibuliwa mitaro,wana wivu mkubwa Sana na wanawake walio kwenye ndoa kama vile wivu wa mchepuko Kwa Mama mwenye mali. Sasa mimi nianze kutolea evidence umuhimu wa ndoa kushindana na mashoga ni kujishushia heshima yangu,na ni kujidhalilisha Kwa kiwango kikubwa sana.
 
Kataa ndoa. Ndoa ni utumwa. Hata wengi wanaozipigia debe wapo humo kwa mateso makali hawana namna[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom