Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯Soon huu uzi utajaa mashoga kuja kujitetea hapa
USSR
sema kuna ukweli bhana, Ndoa zinakuwa kama kifungo vile kwa mwanaume kutokana na sheria zake pindi mnapokosa maelewana.Huu mnyukano walianza wanaweke kuringa wakamwaga mboga, wanaume wakaona isiwe taabu, wanamwaga ugali sasa. Ligi ni kali sana, waasisi wa kampeni ya kataa ndoa wana hoja zenye mashiko
haha ngoja wakupe points zao watakushinda hojaVijana oeni acheni kujaza ujinga
Vijana wanasema mtosheleze mkeo sasa🤣🤣Mnaopinga Ndo Tahadharini sana na Wake zetu hatupendi masikhara... Kama unapinga ndoa ujue utajisaidiaje sio kwa wake zetu...!!! Tutawapenda wake zetu na nyinyi pia
Ulivyo mpumbavu hapo unaona umetoa hoja.Soon huu uzi utajaa mashoga kuja kujitetea hapa
USSR
Msamehe mkuu, walio kwenye ndoa wengi hu-panic😁Ulivyo mpumbavu hapo unaona umetoa hoja.
Toa hoja ya msingi ueleweke.Vijana oeni acheni kujaza ujinga
wake zenu ndo wanaotutafuta kama hujalijua hilo.Mnaopinga Ndo Tahadharini sana na Wake zetu hatupendi masikhara... Kama unapinga ndoa ujue utajisaidiaje sio kwa wake zetu...!!! Tutawapenda wake zetu na nyinyi pia
Msamehe mkuu, walio kwenye ndoa wengi hu-panic
Always mtaendelea ku-stick na hoja hizi hizi za kijinga,, hili battle hamuliwezi, KATAA NDOA, NDOA NI UJAMBAZI BIN UJAMBANOKA, NDOA NI UHAINI.Mwanaume kamili hawezi kataa ndoa, kwa vyovyote ni vivulana humu vinapiga kelele au vishoga, ama wasio kuwa hela.
Wanaume wanaopinga ndoa Dunia imeshawatambua kuwa wanazibuliwa mitaro,wana wivu mkubwa Sana na wanawake walio kwenye ndoa kama vile wivu wa mchepuko Kwa Mama mwenye mali. Sasa mimi nianze kutolea evidence umuhimu wa ndoa kushindana na mashoga ni kujishushia heshima yangu,na ni kujidhalilisha Kwa kiwango kikubwa sana.Habari wana Jf, Hope kwa asilimia wengi tupo poa, Kama haupo poa basi Mungu akufanyie wepesi.
Tuende direct kwenye point, Kwa sasa limeibuka wimbi la watu (wanaume) wengi kuipinga ndoa vikali na kufikia kuonya wanaume wenzao kwamba wasijaribu kwani ni hatari kwa maisha yao.
Upande wa wanawake umeonesha kuchukizwa na aina ya wanaume hao ambao wameonesha kama kushawishi wanaume wengine kuhusu hilo kwani linaonesha dhahiri kwamba linatapelekea wao kukosa haki yao ya kuolewa.
Tukiachana upande wa wanaume kwa wanawake lakini pia kuna upande wa wanaume ambao wao pia wameonesha kuwapinga vikali wanaume wanaoeneza scenario hiyo ya kuhusu ubaya kwenye kuoa (ndoa) na wakidai kwamba ni kuupinga mpango wa Mwenyezi Mungu.
Sasa uzi huu lengo ni kutaka kujua Advantages and Disadvantages of marriage, Kwahiyo wanaopinga ndoa watatoa sababu zao na Wanaounga mkono watatoa sababu zao kisha kila mmoja atapima mzani wake na kuamua akae upande upi.
Karibuni...