Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Hiyo ni assumption tu kutokana na tunavowajua wakenya....ngoja siku ufanye nao hata kazi utawajua
Nna wafahamu vizuri , nmeishi nao ila swala la mahusiano lina complications nyingi hasa mnapo oana watu wa culture tofauti no one knows nini hasa kinawatenganisha hapa tuna assume tu
 
Kiba angekua mvivu angeweza kudumu kwenye mziki kwa miaka yote hio,? wasanii wangapi kaanza nao hawapo wamechoka mbaya ... mambo ya ndoa ni magumu wao wanajua wameachana kwa sababu gani hizi zingine ni ramuli chonganishi mnafanya humu
Kuna mtu kacomment juu huko kiba kinachofuata ni ITV(kufilisika) coz hana washabiki!mtu yuko kwenye muziki miaka 20 sasa then anapigiwa ramli ya kuishiwa kimuziki!
 
Unajua wao walijua kuwa umaarufu kama wa Ali Kiba au Ben Paul ni lazima watakuwa na Mshiko wa Maaana sana. Baadae wanakuja kugundua kumbe ule ni umauurufu tu - hakuna mshiko wa maana; maisha yao ni ya kawaida sana. Hapo ndio kunaleta tatizo.
 
Kuna mtu kacomment juu huko kiba kinachofuata ni ITV(kufilisika) coz hana washabiki!mtu yuko kwenye muziki miaka 20 sasa then anapigiwa ramli ya kuishiwa kimuziki!
Sasa kama ni mvivu means hana kitu anafilisika vipi? waswahili tuna mambo yetu tunayajua wenyewe
 
Mambo yao waachie wenyewe, though Kiba hana nidhamu kabisa...
 
Huyo dada ni mcha mungu,msomi kwa dini ya kiislanu na elimu dunia,alikuwa na kazi nzuri sana benki moha huko kenya,ila mumewe hajatulia kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app

Mumewe mpiga mziki, na mziki ni haramu katika uislamu, sasaa unategemea ndoa yao itadumu!!!! Baraka ndani ya ndoa itapatikana wapi!!!!

Kwa upande wa binti umesema anafanya kazi benki,,,kufanya kazi bank piaa ni haramu.
 
Ndoa bwana, upewe haki ya kuoa wanawake wengi kama waislam,au ufungwe na mke mmoja kwa wakristo,Haina garantiii kama itadumu,
 
Hivi unaweza ukachukia kitu lakini kila siku unakiwaza na kukiongelea? Uzi unamuhusu Ali Kiba na mkewe kunawatu wanawasema Wachagga. Mtu hujui hata maisha yako yanamuelekeo gani unawaza Wachagga.
Wengine mpo hovyo hovyo mkashindwa kupata wanawake wakichagga mnabaki kulia lia humu.
Wachagga nye nye wachagga nyi nyi nyi. Wachagga ndo waume zenu?
 
Wanawaonea gere tu wachaga hao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…