Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Hapa naomba utolee mfano wa fala mmoja anaitwa wema sepetunga
Maisha anayoishi UWOYA kwa sasa ndio ambayo aliyaishi Wema sepetu miaka michache iliyopita..Bongi Movie sijui nani kawaroga hawajifunzi kutokana na makosa ya wenzao kabisa
 
Sina la kuongeza mkuuu umeua kila kitu..Ali laiti angekuwa na spirit ya hardworking ya Mond basi wenda angekuwa mara tatu ya Mondi sema ni mtu ambaye anaridhika na hayupo serious katika utafutaji
Kwa kifupi sema Amina alitegemea kukuta spirit ya hardworking ya Mondi kwa Alikiba. Akakuta kumbe Ali ni style zile za bongo movie jina kidogo anataka majimama ndo yamfanyie kazi yeye ale tu na kufanya kazi anapojiskia tu
 
Yes,unaweza ukawa mpambanaji bila kuwa gold digger kabisa but wanawake wa Kikenya ni wapambanaji na moja ya style yao ya kupambana ni Gold digging!! Huwa hawaoni tabu kudai talaka bila sababu yoyote ya msingi wakitegemea kupata mgawanyo wa mali,wahanga wa hii ishu hasa ni Wakenya wenye asili ya Somalia wanapigwa matukio ya maana na wanawake waKikuyu,jamii nyingine ya hatari kuoa hasa mgeni ni Wazulu wa south,hawa hawaoni tabu kukutumia majambazi tena ishu inafanywa na wanafamilia wa mwanamke wanakaa kikao mke anaambiwa utashirikiana na kaka yako kumpoteza yule mwanaume wa Kitanzania/Kizimbabwe upate mali au umuundie tukio muachane bila sababu urithi mali
Damn right
 
Apambane, 4m kwa kiba haipaswi kuwa tatizo japo sina hakika kama atamudu kila mwezi maana nakumbuka tu msala na producer Manwater walisumbuana mda mrefu sana sababu ya 5mn tu. Kwa level zake akiwa creative hakosi parefu kila mwezi
Ujue jamaa kazaa na wanawake wengine watatu, ukiachana na Amina.Kwa hiyo kama wanawake wote alio zaa nao wakimkalia kooni inaweza ikamtoka mpaka 8-10m kwa mwezi.
 
Kuna kuhitaji pesa kwa mahitaji ya kawaida ya kibinadamu na kuitaka kama ndio tiketi ya mbinguni na ukiikosa utakufa. Unaitaka hadi unaweka rehani utu wako au wa wengine ili uipate. Huo ndio ufala ambao haupatikani makabila yote.

Mimi sipendi mtu anaeitukuza pesa hadi utu naweka kando. Huo ni ufala
Watu wengi tu duniani wanaweka utu pembeni kwasabu ya. Pesa,
Mfano. Drug dealers, watu wanaodili na kutengeneza magonjwa makusudi duniani, prostitution, ufisadi nk. hawa wote wapoteza utu ili wapate pesa
 
Mimi pia. Na kilichonishtua ni tabia...... Tabia zao ni za tofauti sana ukifananisha na jamii zingine za kitanzania.

Ndio jamii pekee ambao katika mji wao wanatamaa ya mali na ardhi na hawapendi kushare na jamii zingine.

Ila kwasasa wamejifunza tofauti especially baada ya kujimix na wanajamii wengine.

Watanzania kwa asilia sio wachoyo au wabinafsi. Ukiwa mbinafsi then utanzania wako ni wa mashaka.

Kitabia nikweli aise wako very different na watanzania wengine, binafsi huwa siwatofautishi sana na wahindi, ila wachache wako vizuri,,,

Kwa upande wa ardhi, pale moshi nasikia hawauzi ardhi kwa mtu mwingine tofauti na kabila lao,,, ni wao tuu. Huu ni ubinafsi na ubaguzi haswaa,, mkuu nenda kanda ya ziwa kwa wasukuma wanavyokirimiwa hawa wachagga,,viwanja/manyumba wanauziwa. Ila kwao sasa dah mpaka nachoka aise 😁
 
Kitabia nikweli aise wako very different na watanzania wengine, binafsi huwa siwatofautishi sana na wahindi, ila wachache wako vizuri,,,

Kwa upande wa ardhi, pale moshi nasikia hawauzi ardhi kwa mtu mwingine tofauti na kabila lao,,, ni wao tuu. Huu ni ubinafsi na ubaguzi haswaa,, mkuu nenda kanda ya ziwa kwa wasukuma wanavyokirimiwa hawa wachagga,,viwanja/manyumba wanauziwa. Ila kwao sasa dah mpaka nachoka aise 😁
Uongo tu,
 
Ndio shida ya watu wasiopenda kuwambiwa ukweli na kuhisi wanachafuliwa au kuchukiwa.

Kwahiyo unadhani mimi sina marafiki wachagga?!

Mimi sichukii mtu hapa wala kutarget kabila. Ila nakemea matabia mabaya ambayo yanaharibu ustawi wa jamii.

Ukweli ni huo kuwa wanawake wa pande zile wana itikadi za ubinafsi sana na kuendekeza tamaa ya pesa.

Kuna m'moja aliniwakia eti kwasababu nilimuahidi pesa na sikumpa kwa wakati.

Maneno niliyomtext baada ya kumkatia simu akiwa bado anatukana sidhani kama atakuwa ameyasahau. Maneno yalimpa adabu na kujua si kila mwanaume anashoboka na uzuri wa sura na mwili.

Tabia kwanza. Wewe hauna utu halafu unaingia kwenye mahusiano kutafuta nini?!
Hii imani nilikuaga nayo na niliwahi sema sitooa mchaga. Kilichonikuta ni kuwa my wife ni mchaga,na hata kabla yake niliekua nae ni mchaga.

Ajabu ndo kanivumilia kiasi ambacho madem wengi hawawezagi kuvumilia dadadeki maana baada ya kutumbuliwa yale maisha nilopitiaga only God knows. Na ali-hang on na hamna alieamini ukizingatia ni pisi kali.

Ye alikua anapiga tu maombi maana nilimuachishaga kazi ya ualimu kijijini huko ili tulee nimfungulie mini supermarket na kazi ikaisha kabla sijafungua.

Nimeamua kucomment baada ya kuona unamtazamo ambao ni too general kwa wachaga wakati mi nimeshuhudia masela kibao wakiachana na wake zao ambao si wachaga baada ya kazi kuisha.

Namimi ndo nikapitia life la tabu sana na ndo the only comfort I had yeye na my kids maana hadi ndugu wa tumbo moja nao kiaina walinihukumu. Nilishaga koment pia kwenye uzi flani humu kama 3 years ago kuhusu tuliokuaga vizuri afu tukafilisika.

Amefanya niheshimu sana hili kabila maana yale maisha baada ya kutumbuliwa ilikua aibu aisee,kati ya vitu huwa namshukuru Mungu katika maisha yangu ni kunipa huyu mke aisee maana we were tested to the limit na it took time kuinuka kama 4 years.

Na huwa sielewagi wanaoshauri watu wasioe wanatumiaga akili gani
 
Safi
Hii imani nilikuaga nayo na niliwahi sema sitooa mchaga. Kilichonikuta ni kuwa my wife ni mchaga,na hata kabla yake niliekua nae ni mchaga. Ajabu ndo kanivumilia kiasi ambacho madem wengi hawawezagi kuvumilia dadadeki maana baada ya kutumbuliwa yale maisha nilopitiaga only God knows. Na ali-hang on na hamna alieamini ukizingatia ni pisi kali. Ye alikua anapiga tu maombi maana nilimuachishaga kazi ya ualimu kijijini huko ili tulee nimfungulie mini supermarket na kazi ikaisha kabla sijafungua. Nimeamua kucomment baada ya kuona unamtazamo ambao ni too general kwa wachaga wakati mi nimeshuhudia masela kibao wakiachana na wake zao ambao si wachaga baada ya kazi kuisha. Namimi ndo nikapitia life la tabu sana na ndo the only comfort I had yeye na my kids maana hadi ndugu wa tumbo moja nao kiaina walinihukumu. Nilishaga koment pia kwenye uzi flani humu kama 3 years ago kuhusu tuliokuaga vizuri afu tukafilisika.
sana, Umemaliza kila kitu, watu wengine wanaona wachaga sijui kitu gani, shauri zao
 
Miaka fulani ya zamani kipindi Alikiba anatamba na Cinderella nilikuwa Moro kwenye majukumu ya Kazi sasa jioni nikawa nimetulia maeneo ya home na washkaji wanakata gambe kuna mwana anaitwa Rama ambaye alikuwa rafiki yangu na shemeji yangu kwa dada yangu fulani akanshtua kwa simu kwamba anataka aje nilipo maana amepata taarifa nipo maeneo ambayo yeye yupo..dakika chache tu akafika akiwa na Alikiba na dada yangu katika story story za hapa na pale akanambia Alikiba anamuomba dada yangu awe video queen katika moja ya nyimbo zake ila yeye akakataa nikamwambia sawa uamuzi ni wako kingine ambacho alinambia na ndicho kinanifanya niandike comment hii eti akanambia anajaribu kumzururisha Alikiba na kumpa michongo ya hapa na pale kwa sababu jamaa akiwa kwao anashinda ndani kutwa nzima anaweza asionekane nje hata wiki kila akimoigia simu yupo ndani tu ndio akamwambia basi njoo Moro angalau tupeane kampani moja mbili ndio akaja..Siku ile nikashangaa inawezekana vipi kijana mkubwa kama yule awe anashinda ndani tu wakati mimi nikiwa Advance tu tayari nishaanza kudandia mabasi na kujua uhuni wote wa stendi miaka ya 1996! Hapo ndipo jibu linakuja Alikiba SI MCHAKARIKAJI
[emoji1][emoji1][emoji1] hatari anashinda ndani
 
Back
Top Bottom