Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Aoe mbongo tuMambo ya utu na utulivu yameshindwa kumtuliza Bi.Amina?
Ally Kiba na mashauzi ataweza kukaa na mke gani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aoe mbongo tuMambo ya utu na utulivu yameshindwa kumtuliza Bi.Amina?
Ally Kiba na mashauzi ataweza kukaa na mke gani sasa?
Inasemekana kuwa wachaga wametokea kenya.,.tukiwaulizaga vizuri wazee wetu wanatuambiaga historia yao ilivokuwa😁😁😁 huwa najaribu kuuliza swali hili lakini cpati jibu "wachagga asili yao wapi/nchi gani" maana ukiwaangalia hawana tofauti sana na wakenya
Ingekua ndoa ya kikristo hapa mgekuja na maneno ya shombo. Kama hamuutambui muziki wafukuzeni wasiwachafulie dini yenu mkuu
Wabongo kashindwana nao sema kiba kazidi umalaya hiv unaanzaje kamgonga mtu kama gigy money au divaAoe mbongo tu
Asilimia kubwa ya waimbaji Tanzania ni waislamu, wanajuwa fiika kuimba ni haram, muislamu ambaye hajui kama ni haram cjui muislamu gani huyu!
Kwaiyo ni nafc ya m2 mwenyewe, na co kwamba uisilamu umemuagiza kufanya hivyo.
Chochote alichokiharamisha Mwenyezi Mungu kina madhara
Yes,unaweza ukawa mpambanaji bila kuwa gold digger kabisa but wanawake wa Kikenya ni wapambanaji na moja ya style yao ya kupambana ni Gold digging!! Huwa hawaoni tabu kudai talaka bila sababu yoyote ya msingi wakitegemea kupata mgawanyo wa mali,wahanga wa hii ishu hasa ni Wakenya wenye asili ya Somalia wanapigwa matukio ya maana na wanawake waKikuyu,jamii nyingine ya hatari kuoa hasa mgeni ni Wazulu wa south,hawa hawaoni tabu kukutumia majambazi tena ishu inafanywa na wanafamilia wa mwanamke wanakaa kikao mke anaambiwa utashirikiana na kaka yako kumpoteza yule mwanaume wa Kitanzania/Kizimbabwe upate mali au umuundie tukio muachane bila sababu urithi maliKwahio upambanaji unahusisha na Gold digging right? If thats what you mean the kwa Kenyan ladies thats a Check☑️
Na mimi namlaHivi utafanya nn siku ukigundua wife analiwa?
Me mnavyosemaga mafighter huwa hata siwaelewi.Wakikuyu na wachaga ni kama kitu kimoja tu, wote mafaita to death
We nawe hujielewi kama sigara nyota kwani huoni wanaachana kwa talaka hayo ya muziki ni matakwa yake unadhani waislamu watamfanya nn na kila mtu na mpango wake umfukuze ili iwejeIngekua ndoa ya kikristo hapa mgekuja na maneno ya shombo. Kama hamuutambui muziki wafukuzeni wasiwachafulie dini yenu mkuu
Kuna kuhitaji pesa kwa mahitaji ya kawaida ya kibinadamu na kuitaka kama ndio tiketi ya mbinguni na ukiikosa utakufa. Unaitaka hadi unaweka rehani utu wako au wa wengine ili uipate. Huo ndio ufala ambao haupatikani makabila yote.Kuna kabila au taifa lolote lisilopenda pesa kweli?
Chuki zako hizo zitakumaliza,na ndio maana dada zetu wataendelea kuwa the best kwa sababu za chuki zenuHii kitu nilikuwa najiuliza sana. Unajua tabia za kufanana huwa hazijifichi hata kidogo. So ukitazama ni kweli na ndio maana tabia za zile sampuli za kule ni tofauti na jamii zote za kitanzania wao wanamatabia kama Ananuki kutoka nje ya dunia.
Tabia za ubinafsi sio za kibantu kabisa. Haya majitu sijui yameumbwa na udongo wenye madini ya magadi?!
Hawana hiyo jurisdiction hata kama wangetaka maana kesi za namna hiyo huwa tunazimaliza kijamii mahakamani huwa ni kama mambo yamekuwa makubwa sana.Hivi mahakama ya kenya inaweza mfunga m Tanzania.
Maana ndoa ilifungwa kenya lakini Ali kiba anaishi Bongo na ni M Tanzania, je akigoma kulipa hizo hela atafanywa nini na mahakama ya Kenya
Ukipata basi tupeane connection mkuu.....eeh ndio hivyo mambo ya threesome ndio mazali nayotafuta
Kivip labda?Huo ndo mwanzo wa kuanguka kwake
Mambo?![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]
Aisee kama upo willing kuna dada mmoja anataka kugegedwa na wanaume wawili ila tope unakula mzee?Ukipata basi tupeane connection mkuu.....
Mimi pia. Na kilichonishtua ni tabia...... Tabia zao ni za tofauti sana ukifananisha na jamii zingine za kitanzania.[emoji16][emoji16][emoji16] huwa najaribu kuuliza swali hili lakini cpati jibu "wachagga asili yao wapi/nchi gani" maana ukiwaangalia hawana tofauti sana na wakenya
Analeta mitego ya kizamani humu ndani,kama vp alipie tangazo kbs[emoji23][emoji23]Unanifurahisha kwa unakometi kifala ili ujulikane unajua sex kima mmoja kafanye si uweke namba zako vidume vikutafute
Nikijua kuna element zozote za njama. Nitapiga huyo nguruwe niuwe..... Na nitambalasa atoke nisimuone tena milele.....Yes,unaweza ukawa mpambanaji bila kuwa gold digger kabisa but wanawake wa Kikenya ni wapambanaji na moja ya style yao ya kupambana ni Gold digging!! Huwa hawaoni tabu kudai talaka bila sababu yoyote ya msingi wakitegemea kupata mgawanyo wa mali,wahanga wa hii ishu hasa ni Wakenya wenye asili ya Somalia wanapigwa matukio ya maana na wanawake waKikuyu,jamii nyingine ya hatari kuoa hasa mgeni ni Wazulu wa south,hawa hawaoni tabu kukutumia majambazi tena ishu inafanywa na wanafamilia wa mwanamke wanakaa kikao mke anaambiwa utashirikiana na kaka yako kumpoteza yule mwanaume wa Kitanzania/Kizimbabwe upate mali au umuundie tukio muachane bila sababu urithi mali