Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Acha kutupakizia uongo not all are after Money! Tatizo huyo Ali malaya kupitiliza. watanzania wenye Tamaa piawapo
Kwani kuna mwanaume anae penda mke mmoja? Hilo ni jambo la kawaida aliimanishe kuomba talaka, ila wakenya wamezidi,......wenyewe maisha ni pesa hawana utu hao mademu
 
Back
Top Bottom