Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Dah kwenye kiuchumi sijui kwakweli maana jamaa hapendi show off zaidi ya kujua tu ile nyumba yake ya Tabata sijui mali zake nyingne kwa kweli huenda anazo nying zaid ya zile au lah!! Ila jengo kama lake lile la TABATA mimi nilianza kuwa nalo nikiwa mwaka wa pili chuo(lakini la urithi)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]
 
Amina Khalef who got married to Kiba in April 2018, accused him of infidelity and verbal abuse from her in laws which she says began about six months into her marriage.

“The respondent (Kiba) has made a mockery of their marriage by disrespectfully engaging in public displays of infidelity with various women in total disregard of the petitioner's feelings,”her suit papers read.

Khalef says efforts to try resolve their marriage issues have been futile as her husband has been unresponsive, concluding that the marriage was broken beyond repair.

“The marriage is irreversibly severely broken with no chance of being salvaged,” she said.

Khalef is now demanding Sh200,000 monthly upkeep for her and children as well as medical cover for the two.

Source: Pulse Kenya.

Kudadadeki demu anataka 4mil kwa mwezi kwa ajili ya malezi ya watoto duuu kazi ipo.
[emoji849][emoji849] milioni 4 TSH...mzee wa mashauzi kushnei

Kidoti una bahati umeona?
 
Yes ndicho nilichokiongelea wanawake wa kule wana sense ya upambanaji sasa wakikutana na mtu ambaye ni mvivu hawawezi kuishi pamoja
Kwahio upambanaji unahusisha na Gold digging right? If thats what you mean the kwa Kenyan ladies thats a Check☑️
 
[emoji849][emoji849] milioni 4 TSH...mzee wa mashauzi kushnei

Kidoti una bahati umeona?
Kidoti ana bahati kwa ajili ya child support, hapo mil 4 kwa mke mmoja bado wale watatu alio wazalisha, sijui nao anawapa kiasi gani kwa mwezi.
 
Mkuu Acha hizo mambo,asilimia kubwa ya uchumi wa kenya wanawake ndo wanamiliki, wanawake wa kule ni fighter sijawahi ona.
Kuhusu mambo ya gold digger ni worldwide hata state wanawake na wanaume wanapenda mtu mwenye pesa zake,
Hapendwi mtu anapendwa pesa
Goldiggers is a worldwide case ila kwa Kenya imezidi yani ni dhahiri wala hawajifichi😅
 
Amina alipenda umaarufu wa kiba ila hakujua kiba ni kama domo wote hawafurukuti kwenye himaya za mama zao,maneno ya Mama zao ndio sheria na kanuni za maisha.
Nadhani Amina alipokuwa anaingia kwenye ndoa na Ally alijua kwamba jamaa anapenda sana chini we ana watoto 5 kila mtu na Mama yake yeye ni nani au ana k gani ya kumtuliza jamaa.
 
Back
Top Bottom