Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Ndio shida ya watu wasiopenda kuwambiwa ukweli na kuhisi wanachafuliwa au kuchukiwa.Chuki zako hizo zitakumaliza,na ndio maana dada zetu wataendelea kuwa the best kwa sababu za chuki zenu
Kwahiyo unadhani mimi sina marafiki wachagga?!
Mimi sichukii mtu hapa wala kutarget kabila. Ila nakemea matabia mabaya ambayo yanaharibu ustawi wa jamii.
Ukweli ni huo kuwa wanawake wa pande zile wana itikadi za ubinafsi sana na kuendekeza tamaa ya pesa.
Kuna m'moja aliniwakia eti kwasababu nilimuahidi pesa na sikumpa kwa wakati.
Maneno niliyomtext baada ya kumkatia simu akiwa bado anatukana sidhani kama atakuwa ameyasahau. Maneno yalimpa adabu na kujua si kila mwanaume anashoboka na uzuri wa sura na mwili.
Tabia kwanza. Wewe hauna utu halafu unaingia kwenye mahusiano kutafuta nini?!