Ukweli ambao haujulikani ni kwamba wanawake wengi wa Kenya wanaona fahari kuolewa na watanzania wakidai watanzania wana swagga kuliko wanaume wao wa Kenya,sasa baada ya hapo ndipo unapokuja ule msemo wa mjasiri haachi asili..Kiasili wanawake wa Kenya na wanaume wao ni wachapakazi kuliko watanzania na wanawake wa Kenya wanapenda mwanaume mchakarikaji hili waishi maisha ya kigold digger sasa wale ambao wamejikuta wameingia kwenye mitego ya ndoa na watanzania baadae hujuta na kusema bora wanaume wa Kenya kutokana na uvivu tulionao,Amina alichotegemea kukikuta kwa Ali kiba ni tofauti na mategemeo yake thus why yamemshinda the same kwa Annelisa na Ben paul,Annelisa baada ya kugundua ben paul ni Marioo akaamua kufata asili yake