Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Ndoa za mastaa nazo ni ndoa au show off tu? Ni suala la muda tu hamisa ataacha kufanya uasi. Demu gani yule mwenye tamaa? Hana utulivu kwenye ndoani. Nini kilimtoa kwa mond? Na huyo msela mwingine waliyezaa mtoto naye nako ilikuaje? Vipi lile jibaba sanii la marekani halikuwahi kula mzigo? Azizi ke yeye ale mzigo tu kisha apite zake, tena ahakikishe anapata mtoto naye ili akitemwa isiwe hasara, hakuna mke hapo japo ni mzuri na anavutia kimahaba
Sasa Mondi naye mwanaume yule? Dume la ku Kiss na mamake nalo utasema janaume hilo?
 
Kwahio vijana wa Kitanzania mna muonea wivu Hamisa, mlitaka Aziz awashenyete nyie..?
Embu huo umasikini wivu chuki makasiriko na upuuzi wenu pelekeni kijijini kwenu waacheni waoane...
By the way hapo kwanza Kitaifa tumefaidika na hiyo ndoa...
 
Watu wanaopenda publicity ngumu sana kuishi nao au wao kwa wao kuishi pamoja muda mrefu.
Hamisa anapenda umaarufu na mahusiano na watu maarufu wenye kipato kikubwa.
Aziz anatakiwa awe makini sana vinginevyo maisha yake ya furaha yatakuwa ya muda mfupi sana. Na vile yupo fragile sana emotionally sijui itakuwaje.
Namkumbuka marehemu Selemani Ndikumana na Uwoya wake.
 
GENTAMYCINE unakumbuka kisa cha mchezaji wenu wa zamani Ndiku?
 
Hongera Aziz Ki &Hamisa Mobeto.
Msisikilize watanzania, wao majungu ni daily life yao, wata sema lile watasema hilo, wamekuwa na Hamisa miaka yote na walishindwa kuoa, wanaume wa Tz ni too inferior kwa wana wake walembo, tuna wakaribisha wageni mje mchukue dada zetu, acheni kuwa makocha kwa ndoa za watu.
 
Back
Top Bottom