Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Sasa Mondi naye mwanaume yule? Dume la ku Kiss na mamake nalo utasema janaume hilo?
 
Kwahio vijana wa Kitanzania mna muonea wivu Hamisa, mlitaka Aziz awashenyete nyie..?
Embu huo umasikini wivu chuki makasiriko na upuuzi wenu pelekeni kijijini kwenu waacheni waoane...
By the way hapo kwanza Kitaifa tumefaidika na hiyo ndoa...
 
Watu wanaopenda publicity ngumu sana kuishi nao au wao kwa wao kuishi pamoja muda mrefu.
Hamisa anapenda umaarufu na mahusiano na watu maarufu wenye kipato kikubwa.
Aziz anatakiwa awe makini sana vinginevyo maisha yake ya furaha yatakuwa ya muda mfupi sana. Na vile yupo fragile sana emotionally sijui itakuwaje.
Namkumbuka marehemu Selemani Ndikumana na Uwoya wake.
 
GENTAMYCINE unakumbuka kisa cha mchezaji wenu wa zamani Ndiku?
 
Hongera Aziz Ki &Hamisa Mobeto.
Msisikilize watanzania, wao majungu ni daily life yao, wata sema lile watasema hilo, wamekuwa na Hamisa miaka yote na walishindwa kuoa, wanaume wa Tz ni too inferior kwa wana wake walembo, tuna wakaribisha wageni mje mchukue dada zetu, acheni kuwa makocha kwa ndoa za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…